Ila jamani crown nyeusi ni bonge la gari, inavutia kweli

Naomba uni add kwa hilo group mkuu
 

Nakutumia namba uni add mkuu[emoji2]
Tusije kuangamia kwa kukosa maarifa
 
hahaha powa usihofu nitafanya namna,,,zamani tulikua wanaingia hadi wazamiaji{wasiokua na crown}ila siku hizi wanataka kuleta ujuaji kuwakazia ambao hawana magari,,,,,mimi sina hata baiskeli ila hamna ataeleta fujo kwangu
Ndugu nimekutumia namba uniunge kwa group hilo
 
Mtu analuambia hakuna gari hapo ila yeye gari anaiota ndotoni tu ukichunguza hata baba ake hakumiliki hata batavuzi
 
Naomba link ya hilo group.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…