Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
old au new?Premio ya kijivu nayo ni 🔥🔥 y
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
old au new?Premio ya kijivu nayo ni 🔥🔥 y
Je mbadala wake ni "chuma" kipi?.zipo chuma zimewaka hatari, afu siku hizi wengi hawanunui crown.
Naomba uni add kwa hilo group mkuundio maana nilikuambia nikuadd kule kwa group ungejifunza mengi zaidi
kule kuna mafundi nguli wa car mechanics hadi dr toyota yumomule kuzoa madini
gari inachambuliwa kuanzia engine hadi body kila kitu unakielewa
kwaufupi sana DHUMUNI LA MJAPAN KUTENGENEZA CROWN NI ALITAKA KULETA USHINDANI NA HIZO GERMAN SEDAN
akaona atengeneeze gari ambalo mtumiaji ambaye hawezi kuaaford german sedan atapata gari for affordable price itakayomu offer spacious,stability on high speed, luxurious,comfortability,performance
CROWN NI MOJA YA JAPANESE FLAGSHIP CAR Mjapan alituliza kichwa akakaa akatulia akatengeneza hii chuma
MERCEDEZ BENZ IS FAR BETTER MILES AWAY.........
hahaha powa usihofu nitafanya namna,,,zamani tulikua wanaingia hadi wazamiaji{wasiokua na crown}ila siku hizi wanataka kuleta ujuaji kuwakazia ambao hawana magari,,,,,mimi sina hata baiskeli ila hamna ataeleta fujo kwanguNaomba uni add kwa hilo group mkuu
ndio maana nilikuambia nikuadd kule kwa group ungejifunza mengi zaidi
kule kuna mafundi nguli wa car mechanics hadi dr toyota yumomule kuzoa madini
gari inachambuliwa kuanzia engine hadi body kila kitu unakielewa
kwaufupi sana DHUMUNI LA MJAPAN KUTENGENEZA CROWN NI ALITAKA KULETA USHINDANI NA HIZO GERMAN SEDAN
akaona atengeneeze gari ambalo mtumiaji ambaye hawezi kuaaford german sedan atapata gari for affordable price itakayomu offer spacious,stability on high speed, luxurious,comfortability,performance
CROWN NI MOJA YA JAPANESE FLAGSHIP CAR Mjapan alituliza kichwa akakaa akatulia akatengeneza hii chuma
MERCEDEZ BENZ IS FAR BETTER MILES AWAY.........
Niliona premio x, crown athlete nyeupeold au new?
premio new model yenye dark silver sijui gray nayo pia nzuri sanaNiliona premio x, crown athlete nyeupe
hahaha poa usihofuNakutumia namba uni add mkuu[emoji2]
Tusije kuangamia kwa kukosa maarifa
Yeah zote ni 🔥 🔥🔥premio new model yenye dark silver sijui gray nayo pia nzuri sana
crown nyeusi ni moto wa kuotea mbaliiiiii
Ndugu nimekutumia namba uniunge kwa group hilohahaha powa usihofu nitafanya namna,,,zamani tulikua wanaingia hadi wazamiaji{wasiokua na crown}ila siku hizi wanataka kuleta ujuaji kuwakazia ambao hawana magari,,,,,mimi sina hata baiskeli ila hamna ataeleta fujo kwangu
una crown?😀Ndugu nimekutumia namba uniunge kwa group hilo
Naomba link ya hilo group.ndio maana nilikuambia nikuadd kule kwa group ungejifunza mengi zaidi
kule kuna mafundi nguli wa car mechanics hadi dr toyota yumomule kuzoa madini
gari inachambuliwa kuanzia engine hadi body kila kitu unakielewa
kwaufupi sana DHUMUNI LA MJAPAN KUTENGENEZA CROWN NI ALITAKA KULETA USHINDANI NA HIZO GERMAN SEDAN
akaona atengeneeze gari ambalo mtumiaji ambaye hawezi kuaaford german sedan atapata gari for affordable price itakayomu offer spacious,stability on high speed, luxurious,comfortability,performance
CROWN NI MOJA YA JAPANESE FLAGSHIP CAR Mjapan alituliza kichwa akakaa akatulia akatengeneza hii chuma
MERCEDEZ BENZ IS FAR BETTER MILES AWAY.........
Haya Fundi maikomkuu shule ulienda kusomea nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nzuri ila mambo ya kuanza kukata huku na kule kwenye bumps shida tupu
Haya Fundi maiko
Hebu elezea kwa kutumia fizikia ili nimuone yule profesa aliyenifundisha damping coefficients alikuwa kilaza
View attachment 2784495
Fundi maiko amekimbia...Electromagnetism [emoji81][emoji119]
Asee Shule moja ngumu
Umenikumbusha mbaali sana
Una 4gr?Ni add mkuu
Sasa CARINA TI inatakiwa kuwa rangi ganiYa silver [emoji2960]
Una 4gr?