Ila jamani Dar pazuri Sana nimetoka bahari beach to goba aisee wakuu mnakula upepo sana

Ila jamani Dar pazuri Sana nimetoka bahari beach to goba aisee wakuu mnakula upepo sana

Kwo Joni ile lake singidan na kindai hayakuwahi kukupa hewa safi na watoto weupe wa kinyaturu na kinyiramba uweeee!
Tatizo maujanja yaani huku mbezi mbezi is like kila kijana ameenda abroad, people in the media people in the entertainment yaani full embassy,safari, Kilimanjaro,castle muda wote..sasa wasingida si kama wanyasa tu
 
Back
Top Bottom