ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
- Thread starter
- #81
Who is John kisomo by the wayAu huyu ndo joni kisomoš¤£
Who is John kisomo by the wayAu huyu ndo joni kisomoš¤£
Hela za Ufuta hizo.Usisahau kuwanunulia watoto zawadi angalau mitumba kadhaa pale Karume.Hata sina itabid niwe mpole sana to the maximum hela yote iishie kwenye fare Nisha enjoy vya kutosha
We ni mwalimu sio?Mkuu mambo ya utumishi wa Uma c unajua yanavozingua ila Nita force tu one day
Huko sipiti hata kdg labda nikashangae mbweniUsisahau kupita na tandale
Aisee yaani maghorofa yote ni ya watu wa namna gn watumish au wanasiasa na km ni wafanyabiashara ina maana wao always hupata hela tuDar pamekuwa pazuri na pamejengeka na wizi.umepungua watu hufanya yao
Mrembo Huko dashlamu Kujengeka huku hakuko tu kimajengo bali hata kimakalio kwa wanawakeDar pamekuwa pazuri na pamejengeka na wizi.umepungua watu hufanya yao
Duuuh ndo shemej anakoish š¤Mburahati kigogo manzese aisee huko hapana magereji ,mihogo,singeli
MeKuna watu wanatamani kuukimbia.
Mpaka unajiuliza hawa watu huwa wanaenda wapi, mpaka vitoto viko lesiEeh hio ndio Dar-es-Salaam muda wote watu wapo lesi hakuna kupumzika 24 hour's watu wapo lesi