Ila jamani Dar pazuri Sana nimetoka bahari beach to goba aisee wakuu mnakula upepo sana

Ila jamani Dar pazuri Sana nimetoka bahari beach to goba aisee wakuu mnakula upepo sana

Mbona unantamanisha kurudi Bongo soon, nmemiss sana vitoto vya Dar
 
Dar kuna siri nyingi nyingi ndio maana utumbo wa kuku unalika vibaya mno.
Utumbo wa kuku hapana ila me sio mtu wa kula Sana labda napenda mishikaki ilivo kila hatua na matunda
 
Hahahah vimechangamka vitoto va 2000 dar buana yani mtu fundi cherehani Tu lakini frem yake analipia zaidi ya laki tatu ukiiona Tu..af ma liquor store ndo km yote mzee aisee.mikoani panaboa tuwe wakweli
Dar kuzuri sana mkuu, ukitembelea pembezoni mwa Tegeta to Mikocheni then Masaki to Oysterbay af uje uishike Kigamboni ni kuzuri sana, Viwanja vikali watoto wakali, full vibes monday to Sunday 24/7
 
Lindi na Mtwara kumekuharibu
 
Dar kuzuri sana mkuu, ukitembelea pembezoni mwa Tegeta to Mikocheni then Masaki to Oysterbay af uje uishike Kigamboni ni kuzuri sana, Viwanja vikali watoto wakali, full vibes monday to Sunday 24/7
Ndo panafaa uwe na mishe za kuingiza walahu 50k daily ndo maana mapunga na malaya wanakuwa wengi huku
 
Juzi nikitoka zangu Mtwara huko nikasema nije kupoa kidogo mjini of course I had a company my OG circle wakami invite bahari beach somewhere knows as jungle tukae chill na my nigas a lot of stories Leo nikasema sasa nikawe na relatives wacha NI request bolt kdg ila nipitie njia ya Goba

Aisee huu mji sitakuja kuacha kuutaman businesses,magari,mafolen matamu,maduka,mademu,watu wamechangamka hawana hata dalili za njaa aisee kwanini nisingezaliwaga dsm ushuani ilikuwaje nikajikuta mkoani sgd then mkoani tena mtwara.shiit
Congratulations Bro. You really have a calling in BROKEN english.
 
Back
Top Bottom