Ila jamani Dar pazuri Sana nimetoka bahari beach to goba aisee wakuu mnakula upepo sana

Ila jamani Dar pazuri Sana nimetoka bahari beach to goba aisee wakuu mnakula upepo sana

Juzi nikitoka zangu Mtwara huko nikasema nije kupoa kidogo mjini of course I had a company my OG circle wakami invite bahari beach somewhere knows as jungle tukae chill na my nigas a lot of stories Leo nikasema sasa nikawe na relatives wacha NI request bolt kdg ila nipitie njia ya Goba

Aisee huu mji sitakuja kuacha kuutaman businesses,magari,mafolen matamu,maduka,mademu,watu wamechangamka hawana hata dalili za njaa aisee kwanini nisingezaliwaga dsm ushuani ilikuwaje nikajikuta mkoani sgd then mkoani tena mtwara.shiit
Mfukoni kuwa na Ngawira za kutosha!
 
Siku ukifika Johansberg Sio utazimia...


Dar es salaam ni sawa na huko kwenu uswekeni mtwara ukilinganisha na miji ya watu kama Cairo Egypt
Sawa lakini me napenda Sana bongo yaani umeenjoy to the fullest mtu mna kutana naye na mnaanza stories bila vipingamizi huko kwa waarab si nasikia wabaguz pumba zao
 
Hata na sisi kila jumapili tunatoka Buguruni na kutinga cocobeach kama kawa....

1752254823374.png
 
Back
Top Bottom