Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Ndoa bado lakini process zingine zote tayari,. Asa anashindwa hata kujiheshimu jamani atulie walau jambo lipite kwanza mmnh
Kabla ya kusema "nakubali" hakuna ndoa kiongozi. Mambo ya ndoa magum sana na yanaweza kubadilika muda wowote hauezi kujua hata uyo aliye huko mbali naye anaendelea na lipi?
 
Uncle wako na ndugu zake wote wana matatizo. Ushauri kwa muolewaji ni kuwa pona yake ni kujitenga na hiyo familia yenu na masuala ya NDOA aachane nayo.
 
Ila kweli mnamuonea huruma huyo mdada

Ila unaweza kuwa na mahusiano na mtu ila usimpende japo watu wako wa karibu wakamuona ni mtu sahihi kwako

Muacheni mjomba amuoe anayemtaka kama ikitokea karma atajifunza
Ngoja tuone itakavyokuwa,.
Na sijui anamdanganya nini mmmh
 
Hiyo kawaida tu , mwenyewe nimelipa mahari kwa wazazi wa mabinti watatu tofauti na kila mmoja anajua baada ya mwaka ataolewa ,ila kiukwel sina mpango wa hata mmoja.
Heee,. Asa kwanini unafanya yote hayo unawapa watu matumaini yasikua na lazima ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…