Hayo mambo ya mke mmoja yanaenda kinyume na jinsi miili yetu wanaume ilivyo , hivyo kijana kagoma kuwa mnafki.Ngoja kwanza tuone itakavyokua,. Shida sio yeye kuchepuka shida ni anafanya hadharani na hajali huku si kuwavinjia heshima ndugu zake jamani
Sahihi kibinadamuAnachokifanya ni sahihi jamani mmnh
Kwa scenario ilivyo, naamini kuna maelewano kati yao, ila km sivyo bas anco wako ana dunia yake,Ila nyie kuna watu hawaogopi kitu,. Labda kama wawe wamekubaliana kama unavyosema
Uongoo.Hayo mambo ya mke mmoja yanaenda kinyume na jinsi miili yetu wanaume ilivyo , hivyo kijana kagoma kuwa mnafki.
Hahaha, umeniua hapo kwenye kulogwa ukoo mzima maana mmekua wanafiki...mtashangaa tu, ukoo mzima mambo magumu, aloooWakuu nadhani mko salama,.
Ntajaribu kutumia codes isijekua wahusika wako humu nikawa nimechomoa betriii,.
Ni hivi,.
Kuna last born wa bibi yetu ambaye mwaka huu mwezi9 anatarajia kufunga ndoa,. Yaani process zote za uchumba na mahari zishafanyika na kamati zishaundwa watu tunaendelea tu kukumbushana michango kwenye group la harusi yake,...
Mambo yote yanafanyika ikiwa Muolewaji bado yuko nje ya nchi alirudi mwaka jana kuja kutambulishwa na alivyovikwa pete ya uchumba akaondoka tena akakamilishe mambo yake ili arudi moja kwa moja kwajili ya ndoa yake,.( Hii inaweza kuwa sababu maybe ),,.means process zingine kama hivi vikao ni ndugu wa pande zote mbili ndio wanahusika,.
Shida ni kwamba huyu Uncle huku kuna mwanamke anaishi nae asa sijui ni mpenzi tu au ni rafiki au sijui imekuwaje lakini ndio hivyo wanaishi wote kinyumbani kabisa,. Nakumbuka tulifanya misa kwajili ya marehemu wa ukoo pamoja na kutengeneza makaburi huyu binti nae alikuja tena aliongozana na dadake kabisa walikuja wote kuungana na sisi,. Na huwa akiwa anapita labda na safari zake lazima apitie kwa bibi amsalimie na kina mama pia ndio hivyohivyo mara vizawadi zawadi ilimradi tu kujipendekeza ukweni,. Hajui kama uncle tayari kashachumbia na anatarajia kuoa mwaka huu,. Na hakuna aliye nyanyua mdomo kumwambia sio Marafiki wa Uncle , Sio ndugu wala mtu yeyote maana Uncle mwenyewe kama anavuta bangi ni mtata balaaa hataki kuambiwa chochote na mtu yeyote,. Kina bibi wameongea nae weee na kina mama ndio kwanza anawaambia yeye mwanaume mambo yake anajua namna ya kushughulika nayo,.
Hivi mtu kama huyu si anatafuta tu matatizo jamani ndugu wa Mume tuonekane hatuna maana?,. Binti wa watu akijakujua kama anachezewa tu na haolewi si tutarogwa ukoo mzima jamani😃😆😅😅,. Maana hadi nyumbani ( ukweni) ameshawahi kuletwa na kuja sio mara moja,. Na Je wakitokea wakuda wakampasha habari muolewaji kuwa huku jamaa yuko na mwanamke mwingine maana ni yuko free anaenda nae kila mahali na trip zake zote wanaenda itakuwaje??,. Mtu si anajiharibia maisha yake mwenyewe jamani?,.
Sometimes wanaume sijui mnakutwaga na nini,. Yaani mnajitafutieni matatizo tu sijui huwa mnawaza nini ??
Ndio tunajua,. Lakini anashindwa kufanya hata kwa siri ??, vipi wakwe zake wakijua wanakua wanamuwazia nini binti yao? Anaolewa na mtu wa namna gani??Hayo mambo ya mke mmoja yanaenda kinyume na jinsi miili yetu wanaume ilivyo , hivyo kijana kagoma kuwa mnafki.
Ndio ukweli, huwa hawajali wengine.Mmmmh
Sasa mimi ndio namiliki kengele ila wewe una sema uongo 😁Uongoo.
Naomba wawe wamekubaliana jamani,. Maana hiyo vita sidhani kama kuna silaha itafaa wakati wa kupigana ,.Kwa scenario ilivyo, naamini kuna maelewano kati yao, ila km sivyo bas anco wako ana dunia yake,
Maana km anategemea mdada ataondoka kivyake, je huyo mkewe hatapata taarifa kuwa mumewe alikua na mtu mwngne had ukweni alijulikana? Ataichukuliaje hiyo? Duuh
Mbna hatari afu sio salama kabisa.
Maumivu ya moyo baada ya kuachwa yanazidi msiba...TikTok kumejaa content za misiba miezi michache baada ya ndoa. Style hio hio ya uncle wako kuumiza watu na kuwatosa
Dogo kwa sababu ni kidume , yeye anajua itakavyo kua , wanaume huwa tuna serikali zetu kichwani.Ndio tunajua,. Lakini anashindwa kufanya hata kwa siri ??, vipi wakwe zake wakijua wanakua wanamuwazia nini binti yao? Anaolewa na mtu wa namna gani??
Serious,. Mtu anakuja kusalimia mara ambebee mkwe vitenge mara nini si anajua hapa wameshanikubali hatakama ndoa badoHahaha, umeniua hapo kwenye kulogwa ukoo mzima maana mmekua wanafiki...mtashangaa tu, ukoo mzima mambo magumu, alooo
Unaogopa kurogwa? 😂😂😂😂Naomba wawe wamekubaliana jamani,. Maana hiyo sidhani kama kuna silaha itafaa wakati wa kupigana ,.
Ila ngoja tuone kwanza itakavyokua
Uongoo!!Sasa mimi ndio namiliki kengele ila wewe una sema uongo 😁