Mathara ya kutanguliza pesa mbele , tunatafuta kwa mateso na kuhatarisha hata maisha ,hivyo kupitia uhanga kwa wanawake wameyataka wenyeweMaumivu ya moyo baada ya kuachwa yanazidi msiba...
Wanawake wakiwa wahanga wakuu
Visasi na malipizi ya kuua kwa nguvu za Giza ila hata wanaomlilia Mungu nao anawalipia kisasi...
Haya bossHaya buana
Ataroga ukoo mzima nawaambia, hadi mimba zitakua zinaharibika tyuuh.Eti jamani kisa tu ujinga wa mtu mmoja asiyeskia la kuambiwa hii sio sawa😄😃
Mkuu mimi naanzia wapi jamani,. Maana Uncle ni mtu mzima halafu mama yake tu mzazi hajamsikia ,. Mie si atakuja aniue kwa mkono mmoja mweeFanya jambo sahihi na la kijasiri kwa mwanamke mwenzio.
Usiende wewe moja kwa moja usije leta uhasama na 'last born', ila find a way to let her know.
Fanya kitu kulinda muda wake, na kumlinda na pending emotional pain or worse even depression.
Usipofanya jambo sahihi muda huu jua una nafasi ya lawama kwa maumivu atakayotapata 'shangazi' baadae.
SawaUongoo!!
Acheni kujiendekeza. Na kusingizia nature.Sawa
Naanzaje jamani mimi,. Maana Uncle kama kashindwa kuwasikiliza dada zake , kaka zake na mama yake mzazi wanamwambia kila siku haelewi mie nitaanzia wapii?Bora umshtue wewe mapema mtoto wa watu. Tumia njia za kimafia kumfikishia ujumbe mapema
No reform no electionYaani sijui kwanini mnapenda kujiamini kupitiliza,.
Hatakama tamaa za mwili mtu unashindwa kuvumilia kwanza hata jambo tu lipite utaendelea na tabia zako mbele ya safari jamani,.
Me nachukia kweli aisee
Huyo dada si uongee NAE kama mwanamke mwenzio tu maana mwisho akija kujua yeye atakuona na wewe wale wale, anko yako kutuwakilisha in negative wayYaani huyu dada sijui atajiskiaje na atatuonaje loh
Mfumo wa mke mmoja ni utamaduni wa kizungu ambao umekuja na dini kwenye majahazi tu ,hakuna mwanaume alie kamilika akawa na mke mmoja asitamani kuwa na wanawake wengine.Acheni kujiendekeza. Na kusingizia nature.
Uongoo mtupuu.
Msanue mwanamke mwenzio, sio anko.Mkuu mimi naanzia wapi jamani,. Maana Uncle ni mtu mzima halafu mama yake tu mzazi hajamsikia ,. Mie si atakuja aniue kwa mkono mmoja mwee
😂😂😂😂😂No reform no election
Acha afaidi, usikute wa ng'ambo ni bikra hajawahi kumpa jamaaHii sio sawa,. Kweli kabisa sio sawa basi tu yaani
Unalijua tego la lukolo? Hadi mifugo yenu inaachia kambaa.Shindwaa shetani😄😅😂,.
Ila naandika huku naogopa, hili jamaa jau sana aisee
Wee ni binti mkubwa anaweza akawa amenizidi hata miaka6 naanzaje kuzumgumza nae,. Na sijawahi kumzoea hata namba yake sina namuonaga tu kwenye matukio kama hivyo basiHuyo dada si uongee NAE kama mwanamke mwenzio tu maana mwisho akija kujua yeye atakuona na wewe wale wale, anko yako kutuwakilisha in negative way
Yupo/wapo. Hii nadharia ya ku generalize ni kujilisha upepo na kuhadaa umma. LolMfumo wa mke mmoja ni utamaduni wa kizungu ambao umekuja na dini kwenye majahazi tu ,hakuna mwanaume alie kamilika akawa na mke mmoja asitamani kuwa na wanawake wengine.