Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,700
- 6,335
ndio kwanza anawaambia yeye mwanaume mambo yake anajua namna ya kushughulika nayo
ndio kwanza anawaambia yeye mwanaume mambo yake anajua namna ya kushughulika nayo
Naongea na mtoto mzuri ,mtoa mada na sio wewe .Kwendraa bhn huna wewe ni makapuku wa jf usijtape nyuma ya keyboard
Poaa usijar.Nipo songea now☺,nitakushtua
Hawa ndugu zetu ndio maana wengi wao wanakufa mapema, wana harakati nyingi mno.Serious imagine unadate na mtu mwaka mzima halafu gafla tu unaskia anaoa kesho au keshokutwa lazima utataka ufanye jambo ,. Na hii inaweza kuwa mbaya jamani
kwakweli ni mbaya mnoo,. sema mtu mwenyewe hajali wala nini maana kama kusemwa kashasemwa sana na hakuna anayemskiliza sio kaka wala dada zakeInakuwaje wazee wa ukoo wanamuogopa kijana wao?. Kweli jamii zinatofautiana sana. Anyway ila mkimchukulia poa atawasumbua sana baadae na hii ishu yake maana ni kama mnashiriki hichi kikombe.
fikiria wewe ndio ungekuwa huyo dada then unakuja kushtukia mtu anaoa, si unaeza ukalaani ukoo mzima rafiki. Kupitia hayo maumivu ndio namna huyo uncle anaweza waponza wote.
Naelewa unaweza usiwe kwenye nafasi ya kumkanya huyo uncle ila nadhani unaweza kujiepushana hilo janga. Ni bora usishirik hii dhuluma maana hapo ni kumdhulumu mtu future yake. Mbaya sana hiyo.
KHapo huwezi jua aliyeachwa bila kuolewa ana mpango gani na ndugu yenu mwe!😶,.Hii hata kwetu ilitokea, tofauti huku hawakua wamefikia muda wa kufunga ndoa ila mwanamke alikua anajulikana kwetu na jamaa anajulikana kwao na mwanamke. Ila ghafla akaanza kuonekana na mwanamke mwingne akawa anatuambia wanafanya kazi wote ila hadi home anakuja na analala. Bi dada yule wa mwanzo akashtukia akawa anauliza fulani ni nani ila hakuna wa kumpa majibu kila mtu anaogopa.
Sasa hivi yule dada alievamia mapenzi ya watu ndio anaolewa. Na jamaa alikua akiulizwa una mpango na yupi kama wote umewapeleka home hatoi jibu la kueleweka. Kuna watu wapo tu kwa ajili ya kuvuruga watoto wa watu.
Duh, poleni tu.kwakweli ni mbaya mnoo,. sema mtu mwenyewe hajali wala nini maana kama kusemwa kashasemwa sana na hakuna anayemskiliza sio kaka wala dada zake