Ndio tunajua,. Lakini anashindwa kufanya hata kwa siri ??, vipi wakwe zake wakijua wanakua wanamuwazia nini binti yao? Anaolewa na mtu wa namna gani??
Kabisa yani mi sioni big deal ya wewe kupata huo muhaho maana anaesalitiwa sio wewe anadanganywa sio wewe na atakaepatq timbwili ni uncle, labda huyo aunt yako anajua kila kitu nyie ndo mmebaki kushikilia roho zenu,,Duuh,.
Ni mkiristo huyo hawezi kuoa mke zaidi ya mmojaKama ana mpango wa kuoa wote utajuaje? Labda uyo atakuwa mke wa pili, coz sio kwa iyo confidence anayokuwa nayo kwenda nae kila mahali.
Atavuna anachokipandaNi hatari mnoo,. Na yeye mwenyewe hajali wala nini
Nipo songea now☺,nitakushtuaKm haeleweki, nistue umalize had chanzo cha ukoo wao huko Uarabuni.
😂😂😂😂😂
Chapisha paper ndogo tu yenye ujumbe huu. NDUGU NIMEAMUA KUKUJULISHA HILI ILI UWE NA UFAHAMU. KIUFUPI HUYO MPENZI WAKO ANA MTU WAKE KARIBIA ANAMUOA NA VIKAO VYA NDUGU PANDE ZOTE TAYARI VINAKALIWA. NIMEPENDA TU UJUE MAPEMA HILI HIVYO ILI USIJE UKASHTUKIZWA HUKO MBELE. ILI UWE NA MAAMUZI YA MAPEMA. NI MIMI MSAMALIA MWEMA. .Naanzaje jamani mimi,. Maana Uncle kama kashindwa kuwasikiliza dada zake , kaka zake na mama yake mzazi wanamwambia kila siku haelewi mie nitaanzia wapii?
Mnataka muambiwe vitu ambayo mazingira yanaweza kuwafundishaKama humpendi mwambie...
Kama humpendi mwambie...
Kama humpendi mwambie...
Iyo mbona ni kesi ya kawaida sanaWakuu nadhani mko salama,.
Ntajaribu kutumia codes isijekua wahusika wako humu nikawa nimechomoa betriii,.
Ni hivi,.
Kuna last born wa bibi yetu ambaye mwaka huu mwezi9 anatarajia kufunga ndoa,. Yaani process zote za uchumba na mahari zishafanyika na kamati zishaundwa watu tunaendelea tu kukumbushana michango kwenye group la harusi yake,...
Mambo yote yanafanyika ikiwa Muolewaji bado yuko nje ya nchi alirudi mwaka jana kuja kutambulishwa na alivyovikwa pete ya uchumba akaondoka tena akakamilishe mambo yake ili arudi moja kwa moja kwajili ya ndoa yake,.( Hii inaweza kuwa sababu maybe ),,.means process zingine kama hivi vikao ni ndugu wa pande zote mbili ndio wanahusika,.
Shida ni kwamba huyu Uncle huku kuna mwanamke anaishi nae asa sijui ni mpenzi tu au ni rafiki au sijui imekuwaje lakini ndio hivyo wanaishi wote kinyumbani kabisa,. Nakumbuka tulifanya misa kwajili ya marehemu wa ukoo pamoja na kutengeneza makaburi huyu binti nae alikuja tena aliongozana na dadake kabisa walikuja wote kuungana na sisi,. Na huwa akiwa anapita labda na safari zake lazima apitie kwa bibi amsalimie na kina mama pia ndio hivyohivyo mara vizawadi zawadi ilimradi tu kujipendekeza ukweni,. Hajui kama uncle tayari kashachumbia na anatarajia kuoa mwaka huu,. Na hakuna aliye nyanyua mdomo kumwambia sio Marafiki wa Uncle , Sio ndugu wala mtu yeyote maana Uncle mwenyewe kama anavuta bangi ni mtata balaaa hataki kuambiwa chochote na mtu yeyote,. Kina bibi wameongea nae weee na kina mama ndio kwanza anawaambia yeye mwanaume mambo yake anajua namna ya kushughulika nayo,.
Hivi mtu kama huyu si anatafuta tu matatizo jamani ndugu wa Mume tuonekane hatuna maana?,. Binti wa watu akijakujua kama anachezewa tu na haolewi si tutarogwa ukoo mzima jamani😃😆😅😅,. Maana hadi nyumbani ( ukweni) ameshawahi kuletwa na kuja sio mara moja,. Na Je wakitokea wakuda wakampasha habari muolewaji kuwa huku jamaa yuko na mwanamke mwingine maana ni yuko free anaenda nae kila mahali na trip zake zote wanaenda itakuwaje??,. Mtu si anajiharibia maisha yake mwenyewe jamani?,.
Sometimes wanaume sijui mnakutwaga na nini,. Yaani mnajitafutieni matatizo tu sijui huwa mnawaza nini ??
Ni kweli kabisaaaWanaume ndio tulivyo, ndio maana hata siku zetu za kuishi duniani ni chache.
Kabisa kama anaogopa kujulikana, tuma liujumbe kisha tupa laini😂😂Chapisha paper ndogo tu yenye ujumbe huu. NDUGU NIMEAMUA KUKUJULISHA HILI ILI UWE NA UFAHAMU. KIUFUPI HUYO MPENZI WAKO ANA MTU WAKE KARIBIA ANAMUOA NA VIKAO VYA NDUGU PANDE ZOTE TAYARI VINAKALIWA. NIMEPENDA TU UJUE MAPEMA HILI HIVYO ILI USIJE UKASHTUKIZWA HUKO MBELE. ILI UWE NA MAAMUZI YA MAPEMA. NI MIMI MSAMALIA MWEMA. .
Kachapishe hilo andiko stationary ya mbali wasikokufahamu. Then ikunje ibane na pin usiweke kwenye bahasha. Chapisha jina lake juu.
Mvizie ukimuona tu kabla yeye hajakuona mpe kijana asiekufahamu ampelekee. Chap we geuka pita kushoto.
Sio umbea ila utakuwa umemsaidia mwanamke mwenzio asije kuugulia maumivu.
Siku zote mwanaume ni tatizo kama hujui muulize mama yakoWakuu nadhani mko salama,.
Ntajaribu kutumia codes isijekua wahusika wako humu nikawa nimechomoa betriii,.
Ni hivi,.
Kuna last born wa bibi yetu ambaye mwaka huu mwezi9 anatarajia kufunga ndoa,. Yaani process zote za uchumba na mahari zishafanyika na kamati zishaundwa watu tunaendelea tu kukumbushana michango kwenye group la harusi yake,...
Mambo yote yanafanyika ikiwa Muolewaji bado yuko nje ya nchi alirudi mwaka jana kuja kutambulishwa na alivyovikwa pete ya uchumba akaondoka tena akakamilishe mambo yake ili arudi moja kwa moja kwajili ya ndoa yake,.( Hii inaweza kuwa sababu maybe ),,.means process zingine kama hivi vikao ni ndugu wa pande zote mbili ndio wanahusika,.
Shida ni kwamba huyu Uncle huku kuna mwanamke anaishi nae asa sijui ni mpenzi tu au ni rafiki au sijui imekuwaje lakini ndio hivyo wanaishi wote kinyumbani kabisa,. Nakumbuka tulifanya misa kwajili ya marehemu wa ukoo pamoja na kutengeneza makaburi huyu binti nae alikuja tena aliongozana na dadake kabisa walikuja wote kuungana na sisi,. Na huwa akiwa anapita labda na safari zake lazima apitie kwa bibi amsalimie na kina mama pia ndio hivyohivyo mara vizawadi zawadi ilimradi tu kujipendekeza ukweni,. Hajui kama uncle tayari kashachumbia na anatarajia kuoa mwaka huu,. Na hakuna aliye nyanyua mdomo kumwambia sio Marafiki wa Uncle , Sio ndugu wala mtu yeyote maana Uncle mwenyewe kama anavuta bangi ni mtata balaaa hataki kuambiwa chochote na mtu yeyote,. Kina bibi wameongea nae weee na kina mama ndio kwanza anawaambia yeye mwanaume mambo yake anajua namna ya kushughulika nayo,.
Hivi mtu kama huyu si anatafuta tu matatizo jamani ndugu wa Mume tuonekane hatuna maana?,. Binti wa watu akijakujua kama anachezewa tu na haolewi si tutarogwa ukoo mzima jamani😃😆😅😅,. Maana hadi nyumbani ( ukweni) ameshawahi kuletwa na kuja sio mara moja,. Na Je wakitokea wakuda wakampasha habari muolewaji kuwa huku jamaa yuko na mwanamke mwingine maana ni yuko free anaenda nae kila mahali na trip zake zote wanaenda itakuwaje??,. Mtu si anajiharibia maisha yake mwenyewe jamani?,.
Sometimes wanaume sijui mnakutwaga na nini,. Yaani mnajitafutieni matatizo tu sijui huwa mnawaza nini ??
NakaziaHuyo jamaa anaweza kukimbia na michango yenu akiwa na hako kadada hapo nyumbani 😄😄View attachment 3334506