Yeah,alienda kuchukua pisi Bukoba to Ruvuma,wenyewe hatukutegemea😁Heeey😟🤔,. Huyo wenu kiboko 😆😆
Maanake kati ya wote hakuna aliyemuoa
Basi na hili litapita,. Kuomba tu binti asiwe na roho ya kisasiMe sioni tatizo maana ni maamuzi ya muoaji,
Family tulien tu,tulifikwa na jambo kama hili na binti aliyemzalisha anko ni jirani aisee, ndoa ilipita ya kibabe, wakamalizana wenyewe hukohuko si tulijizima data,,,,,,japo mwanzo aliteseka maana alijiwekea 100/100 ataolewa yeye.
Kuna mznz namdai ananiletea pigo za kipemba ngoja nimtishe.Lipo huku kwetu, wee hujui kwani? Afu mbna maarufu sana.
Linatisha hatari, mimba zinaharibika hovyo hovyo. Lol
Wanawake lazima mseme hivyo kutokana na hali ya ubinafsi ambayo ni kawaida tuUongooo
Huo ukoo wenu siyo wa kuoa au kuolewa. Yaani mnaona matatizo makubwa hivyo mnasema uncle eti anavuta bangi kwa hiyo mnaendelea kupokea vizawadi. Wote nyie watu wa hovyo Sana.Wakuu nadhani mko salama,.
Ntajaribu kutumia codes isijekua wahusika wako humu nikawa nimechomoa betriii,.
Ni hivi,.
Kuna last born wa bibi yetu ambaye mwaka huu mwezi9 anatarajia kufunga ndoa,. Yaani process zote za uchumba na mahari zishafanyika na kamati zishaundwa watu tunaendelea tu kukumbushana michango kwenye group la harusi yake,...
Mambo yote yanafanyika ikiwa Muolewaji bado yuko nje ya nchi alirudi mwaka jana kuja kutambulishwa na alivyovikwa pete ya uchumba akaondoka tena akakamilishe mambo yake ili arudi moja kwa moja kwajili ya ndoa yake,.( Hii inaweza kuwa sababu maybe ),,.means process zingine kama hivi vikao ni ndugu wa pande zote mbili ndio wanahusika,.
Shida ni kwamba huyu Uncle huku kuna mwanamke anaishi nae asa sijui ni mpenzi tu au ni rafiki au sijui imekuwaje lakini ndio hivyo wanaishi wote kinyumbani kabisa,. Nakumbuka tulifanya misa kwajili ya marehemu wa ukoo pamoja na kutengeneza makaburi huyu binti nae alikuja tena aliongozana na dadake kabisa walikuja wote kuungana na sisi,. Na huwa akiwa anapita labda na safari zake lazima apitie kwa bibi amsalimie na kina mama pia ndio hivyohivyo mara vizawadi zawadi ilimradi tu kujipendekeza ukweni,. Hajui kama uncle tayari kashachumbia na anatarajia kuoa mwaka huu,. Na hakuna aliye nyanyua mdomo kumwambia sio Marafiki wa Uncle , Sio ndugu wala mtu yeyote maana Uncle mwenyewe kama anavuta bangi ni mtata balaaa hataki kuambiwa chochote na mtu yeyote,. Kina bibi wameongea nae weee na kina mama ndio kwanza anawaambia yeye mwanaume mambo yake anajua namna ya kushughulika nayo,.
Hivi mtu kama huyu si anatafuta tu matatizo jamani ndugu wa Mume tuonekane hatuna maana?,. Binti wa watu akijakujua kama anachezewa tu na haolewi si tutarogwa ukoo mzima jamani😃😆😅😅,. Maana hadi nyumbani ( ukweni) ameshawahi kuletwa na kuja sio mara moja,. Na Je wakitokea wakuda wakampasha habari muolewaji kuwa huku jamaa yuko na mwanamke mwingine maana ni yuko free anaenda nae kila mahali na trip zake zote wanaenda itakuwaje??,. Mtu si anajiharibia maisha yake mwenyewe jamani?,.
Sometimes wanaume sijui mnakutwaga na nini,. Yaani mnajitafutieni matatizo tu sijui huwa mnawaza nini ??
NI last born kama wako,habari ya kuoa wakubwa zake wakimshauri aoe wala alikuwa asikii,kumbe alikuwa na demu wake,,hawa alikuwa anaruka nao tu.Huyo anabalaa,. Sema ukute alikua anajua wote hakuna atakayemuoa ndiomaana alikua anawangalia tu mnavyomsema😃
UongoooWanawake lazima mseme hivyo kutokana na hali ya ubinafsi ambayo ni kawaida tu
Km haeleweki, nistue umalize had chanzo cha ukoo wao huko Uarabuni.Kuna mznz namdai ananiletea pigo za kipemba ngoja nimtishe.
Yeah,mwanzo ata kasirika, ataridhika tu.Basi na hili litapita,. Kuomba tu binti asiwe na roho ya kisasi
wanaume kujiamini ndiyo moja ya nguzo kuu ya asili yetuIla wanaume mnajiamini hata kwenye masuala mengine yanayohitaji utulivu wa akili
Mwache ataoa wake wawili kwa siku moja kama alivyofanya dr mwaka.Wakuu nadhani mko salama,.