Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo

ila ipo namna kama vile familia ndio mnatatizo kiongozi Leejay49 mnamvumiliaje mtovu wa nidhamu?
Huyu Uncle kwanza ana karibu miaka 10 na kitu hajawahi kurudi nyumbani wala kuwa na mawasiliano na yeyote,. Amekuja kurudi 2023 kwajili ya suala lake la kuoa ndio wazee wamemvutavuta mpaka mwaka huu maana walikua hawamwamini ,. Tena ndio anafanya mambo kama haya na ni mtata hataki kuambiwa lolote mnamfanyaje??
 
dah inasikitisha sana na huenda wanaume wa maana wanamchumbia anawakataa kwa mbwembwe zote kwamba ninaye nimpendaye kumbe ameangukia kwa tapeli,ila tusimhukumu huenda ataoa wanawake wote wawili maana kuna mwanaume kwa ajili ya wanawake mia hakuna mwanamke kwa ajiri ya wanaume wawili
Ngoja kwanza tuone itakavyokua mkuu,. Ila sio vizuri kwakweli
 
Mimi ndio uncle yako, huyo manzi ninayekuja naye skani adi kwa bi mdashi ananielewa sana, nilishampanga kuwa demu wa ng'ambo simpendi wala nini lakini ndugu akiwemo mother wananilazimisha nimuoe na pia nimesikia fununua wameshamlipia mahari wakati demu mwenyewe anajiuza tu huko nje, mimi nakupenda wewe, siku demu akirudi huyu manzi wa huku kitaa nitamwambia kuwa bi mdashi amenitishia kunilaani kama sitamwoa, kama hujui huyu manzi angu wa kitaa kila siku ananipa pole kwa kulazimishwa kuoa mtu mwingine.
Haahah😂😂😂😂😂😂😂
 
Haya mambo huwa yanashangaza sana... hata wanawake baadhi ni shida... kuna cousin wangu wa kike kwenye kikao chake cha maandalizi ya send off party katibu wa kamati alikuwa mchepuko wake wa kudumu.. walishindwa kuoana kwa sababu mchepuko ni mume wa mtu. Ikabidi mchepuko na cuzzo wakubaliane cuzzo aolewe tu. Yule jamaa alikuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha mambo yanaenda sawa hadi cuzzo kaolewa. Binafsi sikushiriki chochote kwenye hiyo shughuli haramu.
Heee🧐🧐,. Kwamba mchepuko anahudhuria hadi vikao vya send off?? Huyo alivuka mipaka sasa
 
Chapisha paper ndogo tu yenye ujumbe huu. NDUGU NIMEAMUA KUKUJULISHA HILI ILI UWE NA UFAHAMU. KIUFUPI HUYO MPENZI WAKO ANA MTU WAKE KARIBIA ANAMUOA NA VIKAO VYA NDUGU PANDE ZOTE TAYARI VINAKALIWA. NIMEPENDA TU UJUE MAPEMA HILI HIVYO ILI USIJE UKASHTUKIZWA HUKO MBELE. ILI UWE NA MAAMUZI YA MAPEMA. NI MIMI MSAMALIA MWEMA. .

Kachapishe hilo andiko stationary ya mbali wasikokufahamu. Then ikunje ibane na pin usiweke kwenye bahasha. Chapisha jina lake juu.
Mvizie ukimuona tu kabla yeye hajakuona mpe kijana asiekufahamu ampelekee. Chap we geuka pita kushoto.
Sio umbea ila utakuwa umemsaidia mwanamke mwenzio asije kuugulia maumivu.
Haishi huu mkoa tatizo,. Anapitaga tu akiwa na safari zake labda za biashara na akija na Uncle basi
 
Kabisa kama anaogopa kujulikana, tuma liujumbe kisha tupa laini😂😂
Hahaha nimeulizia namba yake hapa imepatikana ila huo ujasiri ndio sinaaa😃😄,.
Mambo yao nawaachia wenyewe bhana Lol
 
Ningayajuaga mapema haya masuala hata mimi nisingefanya huu upuuzi niliofanya wa kuwa commited kwa mwanamke mmoja. Ni mbaya sana. Inabid uwe nao kadhaaa, halaf wale trusted wenye sifa za kuolewa kabisaaa wawe kama wawili au watatu. Utaishi kwa raha sana.😂

Trust me huyo uncle wenu HAKUNA LITAKALO MPATA. anajua exactly ni nini anafanya 🤣. Mwachen na maisha yake
Ila wewe mkuu hapana aisee,
Lol🤣🤣🤣
 
Wewe Leejay49 sasa ndiyo mwanamke wa kuoa sababu mumeo akiwa na bi mdogo binti mchepuko hakutakuwa na vurugu sana.
Uncle wako kakuonesha siyo wanyama au mazimwi wanaokuwa na wanawake wawili. Kwa mwanaume wa kiafrika hayo ndiyo maisha halisia.
Weee! ,. Mie nina vuruguu😃😃
 
Mpaka hapo kweli mjomba wenu ni mtata aisee

Ila kwa akili hizo yani huyo bidada achilia mbali kuwaza kuroga

Amini si tu rafiki wa huyo ankoli bali hata kwa ninyi nduguze ankoli mtaonekana wanafiki vibaya mno.

Pasi na kujua kwamba mngemwambia ila akili ya ndg yenu mnaijua😂😂😂
Huyu uncle ni mtata mno,. Kwanza wanaweza wakamwambia wengine huko akahisi ni sisi aanze kutunyanyasa 😃😀
 
Back
Top Bottom