Haina tatizo,yatapitaHajazaa nae,. Wala huyo muolewaji hawana mtoto
Eti tego la lukolo🤣Unalijua tego la lukolo? Hadi mifugo yenu inaachia kambaa.
Wee subiri uone mambo, 😂😂😂😂😂
Yaan ukweni mnajua kila kitu afu mna kausha? Anaanza na nyie kwani, fagia wotee.Haha Dah😄😂😂,
Huyu Uncle anachotutafutia ngoja tutakiona tu
Asimilia 90 ya wanyama wote duniani ni polygamyYupo/wapo. Hii nadharia ya ku generalize ni kujilisha upepo na kuhadaa umma. Lol
😂😂😂😂 ni balaa hilo, linapita na yeyote aliye ndani ya undugu, hadi mifugo ni fagia fagia tyuuh.Eti tego la lukolo🤣
Uoga wako tu kigezo cha kukuzidi umri sio kigezo cha kutompa ukweli aanze kujinasua , labda hofu ni akimwambia huyo ankoli atakuja akubebe akisikia wewe ndio umechomesha😂Wee ni binti mkubwa anaweza akawa amenizidi hata miaka6 naanzaje kuzumgumza nae,. Na sijawahi kumzoea hata namba yake sina namuonaga tu kwenye matukio kama hivyo basi
Mbna yeye hamu mstui kuwa hapa unachezewa, pita hivi? Vitenge na zawadi mnapokea eeeh?Hahaha😂😂😂😂😂😂😂
Asa si tufanyaje na mhusika mwenyewe mkali kama mbogo
Kwanza atakuja anipige mateke anivunje kiuno😃😂😂😂,.Uoga wako tu kigezo cha kukuzidi umri sio kigezo cha kutompa ukweli aanze kujinasua , labda hofu ni akimwambia huyo ankoli atakuja akubebe akisikia wewe ndio umechomesha😂
Ningekuwa kwa hiyo familia hilo group la michango naleft sichangi😂😂 dalili ya ndoa inaonesha bado moshi mweusiMbna yeye hamu mstui kuwa hapa unachezewa, pita hivi? Vitenge na zawadi mnapokea eeeh?
Subirini mfurahishwee, 😂😂😂😂😂😂
Walio na akili tyuh, ila sio wenye had utashi.Asimilia 90 ya wanyama wote duniani ni polygamy
Sie anko wangu tulijua ana mwanamke na ana mtoto na tulipiga kimya na hakuna aliyemwambia aunt,maana nae alikuwa hajamuoa, lkn anko tulimpa option 2 afunge ndoa na mzazi mwezie au na mwanamke anae ishi nae, wote hajafunga nao ndoa,,,kaoa mwingine.Yaan ukweni mnajua kila kitu afu mna kausha? Anaanza na nyie kwani, fagia wotee.
Yaan kwishaaaa, 😂😂😂😂😂😂