Ila kutapeliwa kunauma wakuu

Ila kutapeliwa kunauma wakuu

Sema umetapeliwa kizembe mno kuna utapeli mtu ukifanyiwa unaweza sema hii bahati mbaya tapeli katumia akili nyingi, a hii ya kwako haina hata haja ya uchwaw wamekuona bumunda
Baadhi ya watanzania wapumbavu sana. Unakuta mtu anapigiwa simu na mtu asiyemjua na anaulizia taarifa zake binafsi jitu limekomaa kujibu utadhani liko kwenye mtihani! Likitoka hapo linasingizia uchawi badala ya upumbavu wake.
 
Aisee mimi nikiwa sina hela tu mtu akinisemesha na simjui anataka kuleta mazoea huwa nakunja sana suraa huo ujinga sitaki kabisaa.
 
Aisee mimi nikiwa sina hela tu mtu akinisemesha na simjui anataka kuleta mazoea huwa nakunja sana suraa huo ujinga sitaki kabisaa.
Kuna yale matapeli ya kwenye simu; halafu huwa hayajifichi maneno matatu tu ya mwanzo na the way linavoongea huwa nayastukia hapo hapo!

Always, neno langu la kwanza ni pumbavu nini! Hiloo linakata simu ghafla linapotea. Don't waste your precious time listening to such thieves.
 
Yani ni balaa haswa dar ukiwa na huruma na tamaa na madili umekwishaaa.. Niliwahi tapeliwa na wale wanaorusha vitenge mara begi siku nyingine mbabu kabisa alinionesha dhahabu eti nimsaidie kumuonesha wanapouza tutagawana faidaa aiseee hawa matapeli acha tu.
 
Mimi Kuna siku nimekutana na mtu usiku kama saa 5 alivyotokea sijamuona nashtukia yupo mbele yangu nasikia tu asalaam alaikum nilimkaushia kimyaaa sitakagi mazoea na mtu simjui kwanza muda wote naweka earphones hata kama sizikilizi muziki muda wote zipo sikioni kama maulidi kitenge ukinisalimia nasikia lakini siitiki,watu wengine kitendo cha kuitikia salamu tu imekula kwako kila anachoongea unaitikia tu
 
Jamii ya wapenda vya bure au rahisi utapeli hutia kambi! Mtu anakuuzia simu, dhahabu, sijui saa barabarani!

Maduka yapo nenda kanunue huko! Matapeli tunawalea sisi wenyewe kwa kupenda Kitonga! Slogans like Vunja Bei or similar ones ni dalili pia ya jamii za wapenda mteremko.
 
Pole Sana, uzuri kutapeliwa ni mara moja Tu. Hutatapeliwa tena
Kweli aise kutapeliwa lazima na ndio inakifunza na kukujenga, mimi nikiwa barabarani sipemdi mazoea hata ukikosea njia nakwambia nenda polisi watakuelekeza, uchawi ni mwingi sana mjini
 
Huenda Huma ndani ya benki Kuna watu wanavujisha taarifa za wateja nje.
 
Mimi Kuna siku nimekutana na mtu usiku kama saa 5 alivyotokea sijamuona nashtukia yupo mbele yangu nasikia tu asalaam alaikum nilimkaushia kimyaaa sitakagi mazoea na mtu simjui kwanza muda wote naweka earphones hata kama sizikilizi muziki muda wote zipo sikioni kama maulidi kitenge ukinisalimia nasikia lakini siitiki,watu wengine kitendo cha kuitikia salamu tu imekula kwako kila anachoongea unaitikia tu
This is another approach! Usiitikie salamu ovyo especially kwa mtu usiyemjua na unaona purposely amekufuata wewe!
 
Pole Sana, uzuri kutapeliwa ni mara moja Tu. Hutatapeliwa tena
Kweli aise kutapeliwa lazima na ndio inakifunza na kukujenga, mimi nikiwa barabarani sipemdi mazoea hata ukikosea njia nakwambia nenda polisi watakuelekeza, uchawi ni mwingi sana mjini
 
Nawaza sijui nianzie pale university kwenye kampasi yao, niende kule primary school na hospitali
Lakini kweli police wetu wanashindwa kufanya uchunguzi kwa details hizo jamani🤔
Sasa Leejay49 wataanzia wapi, hauna number plates ya gari, hauna namba yao simu wala details zozote zisizo nadharia.
 
Hamkua jirani sana si ndio?,. Yaani mlikua hamuonani mara kwa mara
Mikoa tofauti kabisaaa, kipindi hicho kwanza alikimbia akavuka boda akaitelekeza familia yake. Japo sikuwa namuona lakini hasira lazima iwepo, imagine unakula msoto afu kuna lijinga limekusababishia, hapo nabaki kumlaani tu, f**k. Zile hasira hazielezeki. Kimsingi ningemkamata kwa kipindi kile aiseee ingekuwa ni habari nyingine kabisa.

Vina muda basi, alirudi nikapewa taarifa na sikuhangaika nae tena maana tayari muda uliniponya na angalau nilikuwa nimebarikiwa kupata zaidi ya nilivyovipoteza na yeye ameharibikiwa zaidi sasa nilikuwa na amani.
 
Daah! Pole sana mwaya kutapeliwa hakuna mwamba sababu matapeli kila siku wanakuja na mbinu mpya.

Afadhali umeileta humu ili na wengine tujifunze mana hiki ndio kipindi cha watu wengi kutapeliwa.

Japo nawaza wamekujuaje jina lako sasa. 🤔
Hili ndio linaniwazisha mno,. Kwa jinsi walivyokua wananiongelesha ni kama watu tunaofahamiana mda lakini mimi siwajui na sijawahi kuwaona kabisa
 
Back
Top Bottom