Ila kutapeliwa kunauma wakuu

Ni Hapa Soko kuu la Songea mkuu
Hata Mimi hapo soko la Songea nilishawahi kutapeliwa 😅😅😅

Nimetoka zangu home Bombambili nikashuka kwenye daladala tu wakanidaka wakaniita mpaka majina yangu yote matatu. Story nyingi sana na enzi zile nilikuwa na miaka kama 16 tu. Aisee walinipumbaza akili wakanipeleka mpaka pale Bank ya NBC nikawapa hela 80,000 aisee.

Akili zimekuja kunirudia baadaye, wajinga huwa wanafanya namna sio bure.
 
Kilichopo nitakuchangia endapo ukihitaji msaada .

Unaipa Either lipa namba nikuwekee hata 300K


Pole wanazotoa watu hazina umuhimu zaidi ya kukubusti
Mbona comment yako sikuiona mapema mkuu,.

BArikiwa mkuu,. Unaweza ukamtumia ndugu yako wa karibu kwa niaba
Welcome to 2025....... !!! Your year will be full of miseries and drawbacks !!
Duuh,.
 
Umepigwa za uso na wewe walikulamba utakua bonge na wewe sio bure
 
Sijui lakini, wananzengo wanasema sio uchawi lakini mmnh🤔
 
Huyo mwanao ambae alishaanza kutumia simu ni wakike au wakiume? Jinsia tafadhali nisijepata dipresheni
 
Hakuna Uchawi ila ni Tapeli tu wanakuwaga na IQ kubwa sana ni wewe na Huruma zako ndo zilikuponza...Yani ukiingia Mjini weka sura ya Mbuzi usicheke na WOWOTE hata akikwambia anajua ukoo wako mzima kama humjui kula kona fasta saana kwasababu Ukiendelea kumpa sikio tu umeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…