Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

Ila madalali unaweza kuta hapo ana zaidi ya M5 ambazo zitakuwa za kwake pale mteja akipatikana.
 
Ukiwatoa chawa wa mama watu wanaofata kwa ujinga ni madalali.
Anakurupuka tu anakwambia Toyota crown ni mil40 hawana hata aibu,muda wote midomo inatafuna tafuna kama mbuzi kumbe Wana wanafuna madawa yao ya uchawi wanasubiri uingie kwenye mfumo wakubamize..
Nafikiri hao wanazidiwa na wale nyumbu wa Mr artificial chiba.....aisee wale ni wapumbavu bwana, acha kabisa!
 
kinyerezi na ubungo mpaka kiluvya hivyo vilima havifai kwa watu masikini kujenga ni sehemu ambayo serikali ingeweka aina ya ujenzi na ujenzi kufanywa na wataalmu.

Hili eneo limegeuka squatters ndani ya jiji. Ni sehemu ambayo viwanja havina thamani kabisa.
 
Unajua maana ya neno "potential". Mimi Dar sipajui lakini eneo kuuzwa hiyo bei sio ajabu fika ukaone kuna potential gani mpaka kuuzwa hiyo bei.

Tatizo tunapenda tu kukosoa hata hatujui ni eneo gani nyumba ilipo.
UKITOA BABARABARA AMBAYO NI RING ROAD KINYEREZI HAKUNA POTENTIAL YOYOTE.

KINYEREZI NI SEHEMU YA HOVYO SANA NA WATU WENGI WALIOJENGA HUKO WANAPARK MAGARI YAO SHELI🙌🙌🙌😂😂😂

📌📌KIUFUPI KINYEREZI HAKUNA NJIA ZA KUPITA USAFIRI WA MAANA NI SEHEMU YA MIINUKO NA MASKINI WALIOCHANGAMKA HAWAWEZI UJENZI WA MAENEO YA HIVI.WANAISHIA KUHARIBU KILA KITU.
 
Kiwanja hakina hati hakijapimwa.Ni mpumbavu pekee atatoa 35millions kununua huo uchafu.

📌📌📌Kama mnataka viwanja ingieni kwenye app ya serikali inaitwa TAUSI hapo mtapata viwanja vilivyopimwa na venye kutambulika na serikali acheni SHORTCUT MTAUMIA BAADAE na UJINGA WA KUWAENDEKEZA HAO MADALALI.
 
Masikini jeuri. 🤣🤣
Ah lazima uwe jeuri bwana...huyo buku ten tunaitafuta kwa jasho na damu.
Vipi wee nikikupa mil35 sii unanije gea nyumba ya vyumba vitatu fresh kabisa tunahamia tunamtengeneza prince dube wetu wa ukweli ila yeye tutampa jina la prince mzabzab
 
Eti eeeh.

Wee hebu huko. 😂😂
sasa unakataa nini tena mama yanga. wewe unapenda boli mie napenda boli unadhani hapo tukitotoa kifangan sii atakuwa zaidi ya aziz ki bibie. hutaki kuwatunuku yanga one of the best tz players to ever post samatta ?
 
Ukiwatoa chawa wa mama watu wanaofata kwa ujinga ni madalali.
Anakurupuka tu anakwambia Toyota crown ni mil40 hawana hata aibu,muda wote midomo inatafuna tafuna kama mbuzi kumbe wanatafuna madawa yao ya uchawi wanasubiri uingie kwenye mfumo wakubamize vibaya mno..
daah
 
Back
Top Bottom