Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kaka ukiona sehem wananunua wenye pesa kwa hela nyingi unaweza dharau, kinachofanya mtu atoe hiyo pesa ni malengo yake na uhitaji wake kulingana na eneo lilipo.Mpumbavu ndio atanunua
Alie na pesa hard cash hawez kuzipepeurusha humu mjue anazo