Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

Jamani kama utasikia kuna mtu anauza nyumba au kiwanja maeneo ya Goba, Tegeta, Boko au Bunju kwa bei kati ya milioni 20 hadi 30, ukubwa wowote haina shida, wewe muache tu aiuze mimi sina hela kwa sasa.
 
Nilichogundua watu wengi hawajui kuwa kinachouzwa hapo ni eneo na wala sio nyumba.

Ingeweza kuwa ni nyuma ya tope lakini kinachoangalia ni location na potential ya eneo.
Upo sahihi mkuu, kinachouza nyumba sio jengo, ni eneo hasa kwa nyumba kama hiyo ya kawaida.


Kwani mkuu Eli Cohen mwenye nyumba yeye anahitaji kiasi gani?
 
Back
Top Bottom