Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

Unajua maana ya neno "potential". Mimi Dar sipajui lakini eneo kuuzwa hiyo bei sio ajabu fika ukaone kuna potential gani mpaka kuuzwa hiyo bei.

Tatizo tunapenda tu kukosoa hata hatujui ni eneo gani nyumba ilipo.
Madalali hawajielewi! Au huko chunya hawapo?
 
Common sense is not common mdogo wangu. Watu wanaenda na mkondo wa maji. Band wagon.
Yeah sure. Hapa Arusha makao mapya watu wameuza nyumba zile za miaka ya 70 kwa hundreds of millions.

Ngarenaro nyumba za mbavu za mbwa zinauzwa hundreds of millions.

Watu sio kwamba wananunua hizo nyumba bali ni hizo plot zilizoko mjini kabisa ila wenye nazo hawana uwezo wakuendeleza.
 
Back
Top Bottom