Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
kwa kuangalia mazingira yalivyo hatokosa 25m-30m, angalia video kwenye link naiweka hapa chini, imebidi nikasearchHiyo nyumba haitauzika 😅
View: https://www.instagram.com/reel/DFX9sHysmWo/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Lengo la mleta mada sijui ni kuchafua madalali, picha aliyoambatanisha haina maelezo yote muhimu ya eneo linalouzwa na ameyaacha sijui ni bahati mbaya au kakusudia kuyaficha ili lengo lake lifanikiwe.