Ila ndoto nyingine zinachosha, ndoto niliyoiota usiku wa kuamkia leo imenitisha.

Ila ndoto nyingine zinachosha, ndoto niliyoiota usiku wa kuamkia leo imenitisha.

Bandoo sawa tu ila nilimwambia mtu jambo kama hili aisee nilitafutwa hadi nikaogopa kuandika tena post ukitaka nipe pesa nitalufungulia upo himaya ya wachawi na unaloshwa matakataka yao.
So hapo ni real upo huko
Utanifunguliaje mkuu na tupo mbali?
 
Back
Top Bottom