Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

Taarifa nzuri
 
Huna lolote unalolijua haya uliyoandika ni mawazo yako tu ambayo yanachangiwa na ugonjwa ulionao ambao tiba yake inapatikana kule Mirembe
Mgonjwa wa Akili ambaye wenye Akili 24/7 hawaachi tu Kumsoma na Kumfuatilia hapa JamiiForums.

Kisha nikiwaita Majuha mnanichukia.
 
Yaani timu iwe na uwezo wa kulipa mshahara wa milioni 90 kwa mwezi lakini ishindwe kutoa bilioni 1.5 ya kununua mchezaji.
Shangaa na wewe

Yaani watu sijui wanatuonagaje wengine humu JF.
 
Mgonjwa wa Akili ambaye wenye Akili 24/7 hawaachi tu Kumsoma na Kumfuatilia hapa JamiiForums.

Kisha nikiwaita Majuha mnanichukia.
Mkuu usidhani kwamba unachukiwa, ukiona unapingwa basi ujue ni maudhui ya andiko lako na sio wewe.
Ukitoa uzi ambao haupo upande wa makolo basi watakushambulia pia ukitoa uzi ambao upo against na Uto basi utashambuliwa lakini kushambuliwa kwako sio kwamba wewe unachukiwa hapana
 
Si ulisema mama yake kamaliza? Mwambie Sasa ampeleke huko alikofia Christian Atsu
 
Aende CAS Yanga inaendelea.tumemsahau.
Yupo na Patrick Saimon Wala hatuhusu sisi.kwanza amefanana .tunasanya makombe yet yote. tunaenda CAF conf robo tosha.
Kwanza alikuwa anamloga Aziz ki na Mzize.
Kisha alikuwa anamaliza sukari ya bagamoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…