GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimezipokea kwa Heshima na Utiifu kabisa Mkuu na naamini wale Wanaonichukia hawatanuna.Heshima kwako mfalme wa jamii sport
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimezipokea kwa Heshima na Utiifu kabisa Mkuu na naamini wale Wanaonichukia hawatanuna.Heshima kwako mfalme wa jamii sport
Taarifa nzuriKwa Heshima Kubwa niliyopewa na huu Mtandao wa JamiiForums na kwa jinsi GENTAMYCINE ninavyoupenda huu Mtandao nimeamua hii Exclusive ianzie hapa na ukiiona ina trend Kwingineko jua imekopiwa hapa JamiiForums na imetoka Kwangu Mshindi wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na najua nitaendelea Kushinda mpaka nitakapochoka Mwenyewe au pale akina Greatest Of All Time watakaposalimu Amri Kwangu Kudadadeki.
Sasa naanza.....
Ukweli ni kwamba wala Mchezaji Fei Toto ( Feisal Salum ) hatakowi na sijui Azam FC au Simba SC.
Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) anatakiwa na Klabu Moja nchini Uturuki ( Turkey ) kwa Kiasi cha Shilingi Milioni 500 ila Viongozi wa Yanga SC waliikataa hiyo Hela.
Na hii ni mara ya Pili Viongozi wa Klabu hiyo maarufu huko nchini Uturuki ( Turkey ) kuja nchini Tanzania kumhitaji Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) ila Uongozi wa Yanga SC umewataka Walipwe ( Wamnunue ) kwa Shilingi Billioni 2 au Billioni 1.5 ila Jamaa wa Uturuki wamekomaa / walikomaa na Shilingi Milioni 500 yao.
Ni kwamba Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) angeenda katika Klabu hiyo nchini Uturuki ( Turkey ) angekuwa analipwa Mshahara wa Shilingi Milioni 90 au Milioni 80 kwa Mwezi.
Mratibu wa Jambo hili lote ni Bwana Abedi ( Abeid ) ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Kituo cha Mafuta cha Camel Oil na hata Waturuki hawa wanamtumia kama Mtu Kati wao kwakuwa tu anajuana na Wakubwa wa Vilabu hivi Viwili vya Yanga SC na Simba SC.
Mwisho ni kwamba bahati mbaya pekee aliyonayo Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) ni kwamba achilia mbali Kutokuelewana Kwake na Uongozi wa Yanga SC ila pia Kumetokea na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi huko nchini Uturuki ( Turkey ) ambalo limeathiri mno Uchumi wa Taifa hilo na huenda likaathiri pia hata Uchumi wa Vilabu vingi Vikubwa vya nchini humo hivyo kuwa Kikwazo Kwao hata katika Kumsajili Mchezaji huyo hali ambayo nina uhakika Kisaikolojia itakuwa imemuathiri sana na asipotuliza Akili au hata kupatiwa Msaada wa Kisaikolojia hali inaweza kuwa mbaya Kwake.
Haya wale mliozishutumu Klabu za Azam FC na Simba SC kuwa nyuma ya Sakata hili la Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) huku Wapuuzi Wengine hadi mkapanga Kugomea Kununua au Kutumia Bidhaa za Tajiri Mmoja mwenye Klabu yake fanyeni upesi au itisheni Press Conference muwaombe / muviombe Radhi.
Nimemaliza.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!
uende Bunju ukatuambie kati ya kiungo punda na yule Quatala nani anavuta mpunga mrefu?Fei anaonewa haiwezekan Domo anakaa bench na analipwa mil 23 kw mwezi wakati Fei anacheza kuisaidia timu na analipwa ugali na sukari milion 4!!!
Na yenye uhakika kutoka Kwangu GENTAMYCINE Mshindi wa Tuzo ya Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022.Taarifa nzuri
Mgonjwa wa Akili ambaye wenye Akili 24/7 hawaachi tu Kumsoma na Kumfuatilia hapa JamiiForums.Huna lolote unalolijua haya uliyoandika ni mawazo yako tu ambayo yanachangiwa na ugonjwa ulionao ambao tiba yake inapatikana kule Mirembe
Shangaa na weweYaani timu iwe na uwezo wa kulipa mshahara wa milioni 90 kwa mwezi lakini ishindwe kutoa bilioni 1.5 ya kununua mchezaji.
Aachane tu na Mpira akavue Samaki.mkuu kwahio wewe Kama mfalme wa michezo jf unamshauri nini fei Toto?akawapigie magoti yanga?au afanyeje kulinda kiwango chake..
qum....a weee Alie kupatuzo anasikitika huko alipo sasa kwa ushauri huu.siukavue wewe na mamako hao samaki?Aachane tu na Mpira akavue Samaki.
Mkuu usidhani kwamba unachukiwa, ukiona unapingwa basi ujue ni maudhui ya andiko lako na sio wewe.Mgonjwa wa Akili ambaye wenye Akili 24/7 hawaachi tu Kumsoma na Kumfuatilia hapa JamiiForums.
Kisha nikiwaita Majuha mnanichukia.
Ukweli ni upi Mkuu?Huna lolote unalolijua haya uliyoandika ni mawazo yako tu ambayo yanachangiwa na ugonjwa ulionao ambao tiba yake inapatikana kule Mirembe
Kaangalie press release ya TFF ndo ukweliUkweli ni upi Mkuu?
Si ulisema mama yake kamaliza? Mwambie Sasa ampeleke huko alikofia Christian AtsuKwa Heshima Kubwa niliyopewa na huu Mtandao wa JamiiForums na kwa jinsi GENTAMYCINE ninavyoupenda huu Mtandao nimeamua hii Exclusive ianzie hapa na ukiiona ina trend Kwingineko jua imekopiwa hapa JamiiForums na imetoka Kwangu Mshindi wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na najua nitaendelea Kushinda mpaka nitakapochoka Mwenyewe au pale akina Greatest Of All Time watakaposalimu Amri Kwangu Kudadadeki.
Sasa naanza.....
Ukweli ni kwamba wala Mchezaji Fei Toto ( Feisal Salum ) hatakowi na sijui Azam FC au Simba SC.
Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) anatakiwa na Klabu Moja nchini Uturuki ( Turkey ) kwa Kiasi cha Shilingi Milioni 500 ila Viongozi wa Yanga SC waliikataa hiyo Hela.
Na hii ni mara ya Pili Viongozi wa Klabu hiyo maarufu huko nchini Uturuki ( Turkey ) kuja nchini Tanzania kumhitaji Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) ila Uongozi wa Yanga SC umewataka Walipwe ( Wamnunue ) kwa Shilingi Billioni 2 au Billioni 1.5 ila Jamaa wa Uturuki wamekomaa / walikomaa na Shilingi Milioni 500 yao.
Ni kwamba Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) angeenda katika Klabu hiyo nchini Uturuki ( Turkey ) angekuwa analipwa Mshahara wa Shilingi Milioni 90 au Milioni 80 kwa Mwezi.
Mratibu wa Jambo hili lote ni Bwana Abedi ( Abeid ) ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Kituo cha Mafuta cha Camel Oil na hata Waturuki hawa wanamtumia kama Mtu Kati wao kwakuwa tu anajuana na Wakubwa wa Vilabu hivi Viwili vya Yanga SC na Simba SC.
Mwisho ni kwamba bahati mbaya pekee aliyonayo Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) ni kwamba achilia mbali Kutokuelewana Kwake na Uongozi wa Yanga SC ila pia Kumetokea na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi huko nchini Uturuki ( Turkey ) ambalo limeathiri mno Uchumi wa Taifa hilo na huenda likaathiri pia hata Uchumi wa Vilabu vingi Vikubwa vya nchini humo hivyo kuwa Kikwazo Kwao hata katika Kumsajili Mchezaji huyo hali ambayo nina uhakika Kisaikolojia itakuwa imemuathiri sana na asipotuliza Akili au hata kupatiwa Msaada wa Kisaikolojia hali inaweza kuwa mbaya Kwake.
Haya wale mliozishutumu Klabu za Azam FC na Simba SC kuwa nyuma ya Sakata hili la Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) huku Wapuuzi Wengine hadi mkapanga Kugomea Kununua au Kutumia Bidhaa za Tajiri Mmoja mwenye Klabu yake fanyeni upesi au itisheni Press Conference muwaombe / muviombe Radhi.
Nimemaliza.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!
Unajua jinsi Sheria za mikataba zinavyofanya kazi?Fei anaonewa haiwezekan Domo anakaa bench na analipwa mil 23 kw mwezi wakati Fei anacheza kuisaidia timu na analipwa ugali na sukari milion 4!!!
Kuna Sheria afu Kuna utuUnajua jinsi Sheria za mikataba zinavyofanya kazi?