Ila TFF imeamua kupuuza kabisa Feitoto. Kuna ugumu gani kusema hoja alizoweka mezani Feitoto na kufafanua kisheria kwanini hazikuwa za Msingi?

Sio tena Azam ni Uturuki!! Tatzo la ugonjwa wa akili ni kubwa sana kuliko tunavyodhania wandugu
 
Yaani timu iwe na uwezo wa kulipa mshahara wa milioni 90 kwa mwezi lakini ishindwe kutoa bilioni 1.5 ya kununua mchezaji.
@changaule inawezakana hao jamaa wakawa na dau lote la kumnunua lakini sasa wabongo waliopo kati hapo wakaweka uzibe na wakaja na million 200 hata hiyo mia Tano wameona huruma. Wabongo tunazibiana sana rizki

Haya mambo ya kuzuia wachezaji yashapitwa na wakati waache mtu akatafute maisha mbele .umri WA Mpira ni mdogo sana

Kuna maisha baada ya Mpira.

Yanga waache tamaaa hao jamaa wakija hata na million 150 wamuuze fei , waache uduanzi

Yule mwinyi ngwali walimbania timu flani huko wapi then Leo yupo kmkm.
 
Kwa Heshima Kubwa niliyopewa na huu Mtandao wa JamiiForums na kwa jinsi GENTAMYCINE ninavyoupenda huu Mtandao nimeamua hii Exclusive ianzie hapa na ukiiona ina trend Kwingineko jua imekopiwa hapa JamiiForums na imetoka Kwangu Mshindi wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na najua nitaendelea Kushinda mpaka nitakapochoka Mwenyewe au pale akina Greatest Of All Time watakaposalimu Amri Kwangu Kudadadeki.

Sasa naanza.....

Ukweli ni kwamba wala Mchezaji Fei Toto ( Feisal Salum ) hatakowi na sijui Azam FC au Simba SC.

Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) anatakiwa na Klabu Moja nchini Uturuki ( Turkey ) kwa Kiasi cha Shilingi Milioni 500 ila Viongozi wa Yanga SC waliikataa hiyo Hela.

Na hii ni mara ya Pili Viongozi wa Klabu hiyo maarufu huko nchini Uturuki ( Turkey ) kuja nchini Tanzania kumhitaji Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) ila Uongozi wa Yanga SC umewataka Walipwe ( Wamnunue ) kwa Shilingi Billioni 2 au Billioni 1.5 ila Jamaa wa Uturuki wamekomaa / walikomaa na Shilingi Milioni 500 yao.

Ni kwamba Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) angeenda katika Klabu hiyo nchini Uturuki ( Turkey ) angekuwa analipwa Mshahara wa Shilingi Milioni 90 au Milioni 80 kwa Mwezi.

Mratibu wa Jambo hili lote ni Bwana Abedi ( Abeid ) ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Kituo cha Mafuta cha Camel Oil na hata Waturuki hawa wanamtumia kama Mtu Kati wao kwakuwa tu anajuana na Wakubwa wa Vilabu hivi Viwili vya Yanga SC na Simba SC.

Mwisho ni kwamba bahati mbaya pekee aliyonayo Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) ni kwamba achilia mbali Kutokuelewana Kwake na Uongozi wa Yanga SC ila pia Kumetokea na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi huko nchini Uturuki ( Turkey ) ambalo limeathiri mno Uchumi wa Taifa hilo na huenda likaathiri pia hata Uchumi wa Vilabu vingi Vikubwa vya nchini humo hivyo kuwa Kikwazo Kwao hata katika Kumsajili Mchezaji huyo hali ambayo nina uhakika Kisaikolojia itakuwa imemuathiri sana na asipotuliza Akili au hata kupatiwa Msaada wa Kisaikolojia hali inaweza kuwa mbaya Kwake.

Haya wale mliozishutumu Klabu za Azam FC na Simba SC kuwa nyuma ya Sakata hili la Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) huku Wapuuzi Wengine hadi mkapanga Kugomea Kununua au Kutumia Bidhaa za Tajiri Mmoja mwenye Klabu yake fanyeni upesi au itisheni Press Conference muwaombe / muviombe Radhi.

Nimemaliza.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!
huu ni uongo wa waziwazi,kwa taarifa yako yanga washamuarifu free to sale( feitoto) kuwa alipe mil 360 wavunje mkataba sasa kama wanataka 360 why wakatae 500?,tuache kubuni stori na tumwambie fei kuwa kakosea,wanaomtaka ni azam ndio maana wamempa mama yake mil 30 cash ambazo hajawai kuziona kiasi ambacho anabwabwaja hovyo,pia almeahidiwa kupanda meli za azam free tena vip kwa miaka 5 na ndugu zake fei 5 watapewa kazi azam,braza gentamaisini nakwambia yanga wanao mkataba wa fei aliosaini azam kwa sasa wametulia tu wakisubiri the right time kustrike,kama umesoma kitabu cha the godfather cha mario puzo,revenge is better when the dish is cold
wakatabahu
 
Ona hii mbuzi[emoji144]
JamiiForums-632594237.jpg
 
Kwahiyo nawewe umekaa ukaamini kilichoandikwa na huyu jamaa kisha ukajua kuhitimisha kwa kulaumu watu kuzuia mchezaji kwa stori za kusikia hapa mtandaoni.

Hivi twende tu katika uhalisia kwasasa Yanga inavyoendesha, mfano timu ikimuhitaji mchezaji kutoka Yanga si inapaswa kuwasilisha ofa zao kwa uongozi wa Yanga ambapo kwasasa kuna raisi wa Yanga. Sasa unaweza kuniambia wakina nani watakaoweza kuingia katikati kwa mfumo uliopo sasa kwa Yanga?
 
Kwa tafsiri nyingine ni kwamba Yanga sio mahali pazuri kuchezea mchezaji mwenye ndoto za kwenda kucheza timu nyingine kubwa.

Wana roho mbaya ya kuruhusu mchezaji kutoka.
 
Fei anaonewa haiwezekan Domo anakaa bench na analipwa mil 23 kw mwezi wakati Fei anacheza kuisaidia timu na analipwa ugali na sukari milion 4!!!
Ninyi watu ninyi, Labda mkataba uliorodheshewa na kipengele cha chai.
 
Kwa Heshima Kubwa niliyopewa na huu Mtandao wa JamiiForums na kwa jinsi GENTAMYCINE ninavyoupenda huu Mtandao nimeamua hii Exclusive ianzie hapa na ukiiona ina trend Kwingineko jua imekopiwa hapa JamiiForums na imetoka Kwangu Mshindi wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka 2022 na najua nitaendelea Kushinda mpaka nitakapochoka Mwenyewe au pale akina Greatest Of All Time watakaposalimu Amri Kwangu Kudadadeki.

Sasa naanza.....

Ukweli ni kwamba wala Mchezaji Fei Toto ( Feisal Salum ) hatakowi na sijui Azam FC au Simba SC.

Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) anatakiwa na Klabu Moja nchini Uturuki ( Turkey ) kwa Kiasi cha Shilingi Milioni 500 ila Viongozi wa Yanga SC waliikataa hiyo Hela.

Na hii ni mara ya Pili Viongozi wa Klabu hiyo maarufu huko nchini Uturuki ( Turkey ) kuja nchini Tanzania kumhitaji Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) ila Uongozi wa Yanga SC umewataka Walipwe ( Wamnunue ) kwa Shilingi Billioni 2 au Billioni 1.5 ila Jamaa wa Uturuki wamekomaa / walikomaa na Shilingi Milioni 500 yao.

Ni kwamba Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) angeenda katika Klabu hiyo nchini Uturuki ( Turkey ) angekuwa analipwa Mshahara wa Shilingi Milioni 90 au Milioni 80 kwa Mwezi.

Mratibu wa Jambo hili lote ni Bwana Abedi ( Abeid ) ambaye ni Msimamizi Mkuu wa Kituo cha Mafuta cha Camel Oil na hata Waturuki hawa wanamtumia kama Mtu Kati wao kwakuwa tu anajuana na Wakubwa wa Vilabu hivi Viwili vya Yanga SC na Simba SC.

Mwisho ni kwamba bahati mbaya pekee aliyonayo Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) ni kwamba achilia mbali Kutokuelewana Kwake na Uongozi wa Yanga SC ila pia Kumetokea na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi huko nchini Uturuki ( Turkey ) ambalo limeathiri mno Uchumi wa Taifa hilo na huenda likaathiri pia hata Uchumi wa Vilabu vingi Vikubwa vya nchini humo hivyo kuwa Kikwazo Kwao hata katika Kumsajili Mchezaji huyo hali ambayo nina uhakika Kisaikolojia itakuwa imemuathiri sana na asipotuliza Akili au hata kupatiwa Msaada wa Kisaikolojia hali inaweza kuwa mbaya Kwake.

Haya wale mliozishutumu Klabu za Azam FC na Simba SC kuwa nyuma ya Sakata hili la Mchezaji Feisal Salum ( Fei Toto ) huku Wapuuzi Wengine hadi mkapanga Kugomea Kununua au Kutumia Bidhaa za Tajiri Mmoja mwenye Klabu yake fanyeni upesi au itisheni Press Conference muwaombe / muviombe Radhi.

Nimemaliza.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!
Naomba radhi kwa kipi? Wewe unaaminika vipi kuwa chanzo cha taarifa? Ebu tuanze kuwa serious
 
Haya bhana bingwa
 
Mengine sina uhakika nayo sana ila Abeid naemjua mimi anaejuana na hawa Simba na Yanga atakua ni huyu tu.
Screenshot_20230304-183945_Instagram.jpg
 
huu ni uongo wa waziwazi,kwa taarifa yako yanga washamuarifu free to sale( feitoto) kuwa alipe mil 360 wavunje mkataba sasa kama wanataka 360 why wakatae 500?,tuache kubuni stori na tumwambie fei kuwa kakosea,wanaomtaka ni azam ndio maana wamempa mama yake mil 30 cash ambazo hajawai kuziona kiasi ambacho anabwabwaja hovyo,pia almeahidiwa kupanda meli za azam free tena vip kwa miaka 5 na ndugu zake fei 5 watapewa kazi azam,braza gentamaisini nakwambia yanga wanao mkataba wa fei aliosaini azam kwa sasa wametulia tu wakisubiri the right time kustrike,kama umesoma kitabu cha the godfather cha mario puzo,revenge is better when the dish is cold
wakatabahu
Empty Set.
 
Hujakosea ila kwanini pamoja na kujua Jamaa ni Taahira ila bado tu 24/7 mnamsoma na kumfuatilia mno hapa JamiiForums?

Mkiitwa Fools ( Majuha ) mtakuwa mnakosewa? Nasubiria Jibu lako / Majibu yenu tafadhali.
Punguza kuandika ujinga humu ndani eti unajiita king labda king wa maaskari wa kizanzibar [emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Huyu ndo Dokta Genta aka mwenyekiti wa mapopoma Jf ambae za chini chini zinadai ni Mossad's chief of station hapa bongo na kazi zake anafanyia ubalozi wa Rwanda
 
Back
Top Bottom