Uchaguzi 2020 Ila Tundu Lissu ana ujasiri. Unguja alimpigia kampeni Maalim Seif na Kigoma kampigia kampeni Zitto Kabwe

ACt kitu ambacho hawajagudua na watagundua baada ya uchaguzi, membe ametumwa kugawa kura za upinzani.
Uwezo huo hana,ndiyo maana amejinyamazia zake.Hana madhara ndiyo sababu Mh.Lissu ananyoosha mapito.This Time wanalo!
 
Wasiwasi wangu,je ZZK akipanda jukwaani anaweza kumnadi Lissu live?Hasa katika Yale Mazingira ambayo Ana ushawishi was kutosha?
 
Umoja hata kwenye familia ni jambo muhimu sana
 
Binafsi lisu nimwana siasa wa kipekee ametuonyesha kuwa yeye lengo lake nikuiondowa ccm madarakani nandio maana anathubutu kumsapot mpinzani yoyote yule ilimladi tu awe anakubalika eneo usika
 
Lissu kachanganyikiwa tu. Anajua chama chake bado kiki mikoa mnne tu hapa nchini. Kilimanjaro.Arusha. mbeya na Mara. Sasa huko anakopita lazima atafute kuungwa mkono Juu kwa Juu. Bahati mbaya ameshachelewa.
 
Shujaa ni yule anayemtizama shetani machoni na kumwambia: "Wewe ni shetani." Ndivyo alivyo TAL.
 

Na cha ajab hata hawamshobokei
 
sioni akili zozote alizo huyo Tundu wenu angekua anijitambua angesimama jukwaani kutueleza kua ataifanyia nn Tanzania kwa hyo miaka mitano sio kutufundisha sheria kama anavonya sasa kiufupi hana sera anatafuta kuonewa huruma na watanzania kwa aliyofanyiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…