Uwezo huo hana,ndiyo maana amejinyamazia zake.Hana madhara ndiyo sababu Mh.Lissu ananyoosha mapito.This Time wanalo!ACt kitu ambacho hawajagudua na watagundua baada ya uchaguzi, membe ametumwa kugawa kura za upinzani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezo huo hana,ndiyo maana amejinyamazia zake.Hana madhara ndiyo sababu Mh.Lissu ananyoosha mapito.This Time wanalo!ACt kitu ambacho hawajagudua na watagundua baada ya uchaguzi, membe ametumwa kugawa kura za upinzani.
Lissu alishasema huwezi pendwa na Kila mtu Hilo halishangaziMbona mbona hamyasemi jinsi watu walio simama back bench wakimzomea TAL mpaka mkutano akaufupisha? Kigoma nilisikia hivyo, Sumbawanga nako hivyo hivyo.
Umoja hata kwenye familia ni jambo muhimu sanaMnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.
Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.
Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.
Maendeleo hayana vyama!
Ataweza kupata kura milioni 8?Lissu, Rais wetu.
Binafsi lisu nimwana siasa wa kipekee ametuonyesha kuwa yeye lengo lake nikuiondowa ccm madarakani nandio maana anathubutu kumsapot mpinzani yoyote yule ilimladi tu awe anakubalika eneo usikaMnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.
Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.
Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.
Maendeleo hayana vyama!
Umoja wa Lisu na ACT wazalendo au Chadema na ACT wazalendo?!Umoja hata kwenye familia ni jambo muhimu sana
Shujaa ni yule anayemtizama shetani machoni na kumwambia: "Wewe ni shetani." Ndivyo alivyo TAL.Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.
Akiwa Zanzibar huku pembeni yake amesimama mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chadema ni yeye akampigia kampeni maalimu Seif.
Leo akiwa Kigoma manispaa katika viwanja vya Mwanga CC huku pembeni yake akiwa amesimama mgombea ubunge wa Kigoma mjini kupitia Chadema Ni Yeye akampigia kampeni Zitto Kabwe wa ACT wazalendo.
Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.
Maendeleo hayana vyama!
Shetani hana uso!Shujaa ni yule anayemtizama shetani machoni na kumwambia: "Wewe ni shetani." Ndivyo alivyo TAL.
Ila awamu hii ya 5 ?,anayesema maendeleo hayana vyama anakataa kuyapeleka maendeleo kwenye majimbo ya wapinzanMaendeleo hayana vyama!
Sikuwaza nitacheka..Ila umenichekesha Hadi nimechekaHiyo ndiyo tofauti Kati ya magufuli na tundu lissu, angalia jinsi magufuli anavyojipendelea yaani kilakitu anataka afanye yeye mpaka Kwenye kuzindua VYOO VYA STENDI
kwetu sisi ccm ni amani tu,hapo maana yake Zitto hamuungi mkono mgombea wake Niguse ninuke!Ujasiri huu wa TAL hata Lyatonga Mrema wa TLP hana.
Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni kwa swala la msimamo TAL nampongeza.