Nimekuelewa mkuu.Mfano iwe club, beach, kwenye usafiri, popote pale, siwezi mshobokea mwanamke hata kama awe mzuri kama cleopatra.. baada ya salaam kama inafaa kumsalimia(mfano nimemkuta kwenye siti ya usafiri baada ya hapo ni buyu, labda anizungumzishe yeye, akinichangamkia basi nami namchangamkia 2 times, ila akipiga buyu mie napiga buyu la millenium.)
Mkurugenzi unaombwa namba banaaa sio wee kuomba!
π₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ίππππ Kwann nafanyiwa hivi mimiMbona shangazi yangu kakunyima alooo
HtrSiku nyingine jifanye simu haina chaji halafu chukua noti ya 10k andika namba yako hapo kisha mpe hiyo noti na mwambie akupigie. ASIPOKUPIGIA wala kukutafuta ndani ya wiki uje nikupeleke kwa Mzee Chinyama pembeni ya Ziwa Tanganyika uondoe nuksi.
Kabisa mzee πππ bora ununue tu mzgo kumiliki mwanamke n cost sana..Rafiki yangu mmoja husema hutakiwi kubembeleza kuwa na mwanamke kwa sababu unabembeleza mtu aje akupige vizinga akutegemee kama baba yake. Yaani unamlazimisha akubali kutumia pesa zako.
upo kama mimi mkuu, unakuta pisi inaaga mara 3 tatu.Duh kitu nashukuru sijawahi paparikia namba ya mdada hata siku moja na sidhani kama ntafanya hvo, hv mfano nasafiri naye labda dar Tanga npo nae seat moja nimuombe no?
Mishe zingine kuchoreshana tu, hv tuseme umekutana na manzi mara ya kwanza unataka namba....ukipewa unaanza kumsumbua mtoto wa watu "nambie"upo kama mimi mkuu, unakuta pisi inaaga mara 3 tatu.
π siwezi hizo mambo, mara ya mwisho nilisafiri dar to dom nlikaa na pisi moja nyeupe shombe fulani hivi(huwa sivutiwi na ke weupe) tulisalimiana mwanzo wa safari. Baadae aliniomba simu aandike namba za vocha katumiwa, sikutaka kumkatisha nikampa akaandika baada ya kumaliza nikamuelekeza namna ya kucopy na kupaste kama njia rahisi basi akafurahi huyo akanichangamkia sana mpaka tunafika sikuwaza hata habari za namba.Mishe zingine kuchoreshana tu, hv tuseme umekutana na manzi mara ya kwanza unataka namba....ukipewa unaanza kumsumbua mtoto wa watu "nambie"
Hao wenyewe wa kudaka namba ovyo hata kumdate inakua kipengele na ukimdate jua uko na pombe ya ngomaniπkila anayefika anatoa wengeπ siwezi hizo mambo, mara ya mwisho nilisafiri dar to dom nlikaa na pisi moja nyeupe shombe fulani hivi(huwa sivutiwi na ke weupe) tulisalimiana mwanzo wa safari. Baadae aliniomba simu aandike namba za vocha katumiwa, sikutaka kumkatisha nikampa akaandika baada ya kumaliza nikamuelekeza namna ya kucopy na kupaste kama njia rahisi basi akafurahi huyo akanichangamkia sana mpaka tunafika sikuwaza hata habari za namba.
πππππHao wenyewe wa kudaka namba ovyo hata kumdate inakua kipengele na ukimdate jua uko na pombe ya ngomaniπkila anayefika anatoa wenge
Mi siwezi ukiniona nimechukua namba kwa ke jua kwa % zisizopungua 50 nimevutiwa nae sana.Hao wenyewe wa kudaka namba ovyo hata kumdate inakua kipengele na ukimdate jua uko na pombe ya ngomaniπkila anayefika anatoa wenge
Wee ni liongoo sana, mxxxxiiiiiieeeewKweli mkuu maana kuna wengine hatujawahi kunyimwa namba hata iweje...
Ila baada ya hapo kuomba vingine ndo tunakutana na changamoto aiseeee
Kelele wewe...ππππππWee ni liongoo sana, mxxxxiiiiiieeeew
Hadi vidampaaa wanakukataaa, huoni aibu?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata ningekutukana tuu πππππPoleni. Kuna mmoja alinitukana matusi ya nguoni kisa nimemnyima namba. Kuna wengine nimegeuka maadui zao hawanisalimii kabisa kisa niliwanyima mawasiliano. Unapohitaji kitu tarajia mambo mawili kupata ama kukosa, ukijua hili hata katika maisha mengine huwezi pata tabu.
Ukiomba akakunyima omba mwingine akikunyima na yeye endelea kuomba hadi upate atakaekupaWakuu habari za jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha mschana unamuomba namba alafu anakunyima daa inaleta stress sana ila basi tu.