comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
BORA UZI UFE TUU, MMEZID KU EDIT MIMI SIKUANDIKA HIVI, FURAHINI SASA
😂 😂😂 Mchawi kobazi tuuHao ikiwapa tena na kobazi, kwisha habari
Viongozi wa waislam wanalipwa na serikal ndio maana hawawezi kuongea chochoteIla wenzetu Wakristo wamebarikiwa kwenye sekta ya viongozi. Hapo viongozi wetu sisi watu wa proud to be akipewa sinia la ubwabwa tu kazi kwisha
.
Jamani Waislam tuanze kutoa sadaka misikiti kama wenzetu ili viongozi wetu wawe kama hivi… Tatizo tulionalo na viongozi wa dini yetu ni njaa tu.
Eti ni kweli viongozi wao wa Dini wanarubuniwa na sahani la wali,uji wa pilipili manga na punje za tende ndio maana wanashindwa kuzungumza ukweli? Njaa ndio tatizo?
Ama ni kwasababu waumini wao hawatoi sadaka za maana ndio maana viongozi wao wanarubunika kirahis?
Kwa upande wangu ñaona ndugu zetu katika Imani pamoja na yote hapo juu, shida nyingine walikimbia umande, Yani viongozi wao wengi ni wale walikimbia Elimu dunia wakaenda kusoma ilmu ya Dini.
Wewe unaona shida ni nini Mdau Hadi wenzetu wanakua wazito kusimamia ukweli?
Kwa huu Mkono wako huwezi kutenganisha Ukristo na Ushoga.😂 😂😂 Mchawi kobazi tuuView attachment 3317881
Ushoga uko pwani broKwa huu Mkono wako huwezi kutenganisha Ukristo na Ushoga.
Mimi pia nililetewa pilau la bure full kwenye hotpot ila walininyima nyama na viaziila kusema ukweli kwenye swala la ukarimu waislamu wako vzr maana siku ya iddi nililetea sahan 4 kutoka kaya tofauti tofauti ,ila sasa ilivyo fika siku ya pasaka siku ambulia hata punje moja ya wali.
Hapa Dar ni kituo cha Biashara kwa hiyo wewe ni ni wa dar?Ushoga uko pwani bro
Kwa waislam wengi
Njoo magomen ushangae
Hawamuogopi Allah subuhana who a taaalah?Viongozi wa waislam wanalipwa na serikal ndio maana hawawezi kuongea chochote
Umeona sasa mlivo vilaza, umeshindwa hata kufanya IMAGE SEARCH Google ili ujue hiyo picha nilioweka NI Mimi au nimetoa tuu mtandaoni??? Shida mlikimbia umande Weng wenu kichwani hamna kituKwa huu Mkono wako huwezi kutenganisha Ukristo na Ushoga.
Duh aisee! 40K? Zaidi ya wiki? Huo NI ufukara WA kupindukiaNilishangaa msikiti mmoja magomeni wanachangisha hela ya bili ya maji tsh 40k,tena kupitia spika,ile hela wamechangisha zaidi ya wiki.
Sasa kila aliyetoa wanamshukuru hela zenyewe za mchango sasa ni 200,500 ikizidi sana 1000.
Vijamaa,vichoyo na vimejaa unafiki mkubwa,wakristo wakijitoa kuhudumia makanisa na viongozi wao vinaanza kusema eti wajinga ndio waliwao..hopless kabisa
😂😂😂😂Hao jamaa wanapata nafasi ya kuongea na Rais wanamuomba awanunulie darubini la kuangalizia mwezi kama umeandama. Miyeyusho sana.
😂Ahaahah. JAMII FORUM BANA ,KWAHIYO WAMETOA ZILE PICHA ZA VYAKULA NA SCREENSHOT YA POST YA MANGE, WAFANYAZI WA HUU MTANDAO WANA SHUGHULI, WANA EDIT SANA, UZI UFUTWE HUU USHAPOTEZA UHALISIA, IMEKUA KAMA MIMI NDIO MUISLAM SASA
Hii Jamiiforums Mtandao WA Aina Yake, hata kama hujatukana wanataka uandike kama wao wanavyotaka, sasa hapo imekosa maana imekua kama NI Mimi nasema Kama kichwa cha habari kinavyosema, yani Ile screenshot niliyoweka ndio wameweka kama Mimi ndio nasema vile, picha ya sahani ya wali na tende WAMETOA, wameacha kikombe cha uji😂
Inasikitisha sana mkuu