comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Tanzania Kuna viongozi wa BAKWATA sio wa waislamu , BAKWATA ipo kwa ajili ya kuurudisha nyuma uislamuBORA UZI UFE TUU, MMEZID KU EDIT MIMI SIKUANDIKA HIVI, FURAHINI SASA
mpumbavu wewe, ukristo unapinga vikali tabia hiyo, acha ujingaKwa huu Mkono wako huwezi kutenganisha Ukristo na Ushoga.
Ndugu yangu ndio tumefika hukoKwa huu Mkono wako huwezi kutenganisha Ukristo na Ushoga.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hao jamaa wanapata nafasi ya kuongea na Rais wanamuomba awanunulie darubini la kuangalizia mwezi kama umeandama. Miyeyusho sana.
Waislamu wana ubinafsi sana ndiyo maana wanachoyo ndiyo maana wakiwa viongozi awajali wanyonge tena bila ya sababu za msingi ...wanatabia ya kuabudiana matajiri kwa matajiri na kudharau wanyonge na masikiniBORA UZI UFE TUU, MMEZID KU EDIT MIMI SIKUANDIKA HIVI, FURAHINI SASA
Njaa mbaya sana, kula sahani 4 za wali ndo ukasahau kabisa kwamba kuna magaidi duniani.ila kusema ukweli kwenye swala la ukarimu waislamu wako vzr maana siku ya iddi nililetea sahan 4 kutoka kaya tofauti tofauti ,ila sasa ilivyo fika siku ya pasaka siku ambulia hata punje moja ya wali.