Ila wenzetu Wakristo wamebarikiwa kwenye sekta ya viongozi

Viongozi wa waislam wanalipwa na serikal ndio maana hawawezi kuongea chochote
 
Ngoja nikae pembeni nisubirie mpambano wa wafuasi wa dini zilizoletwa na majahazi.
 
Nilishangaa msikiti mmoja magomeni wanachangisha hela ya bili ya maji tsh 40k,tena kupitia spika,ile hela wamechangisha zaidi ya wiki.

Sasa kila aliyetoa wanamshukuru hela zenyewe za mchango sasa ni 200,500 ikizidi sana 1000.

Vijamaa,vichoyo na vimejaa unafiki mkubwa,wakristo wakijitoa kuhudumia makanisa na viongozi wao vinaanza kusema eti wajinga ndio waliwao..hopless kabisa
 
ila kusema ukweli kwenye swala la ukarimu waislamu wako vzr maana siku ya iddi nililetea sahan 4 kutoka kaya tofauti tofauti ,ila sasa ilivyo fika siku ya pasaka siku ambulia hata punje moja ya wali.
 
ila kusema ukweli kwenye swala la ukarimu waislamu wako vzr maana siku ya iddi nililetea sahan 4 kutoka kaya tofauti tofauti ,ila sasa ilivyo fika siku ya pasaka siku ambulia hata punje moja ya wali.
Mimi pia nililetewa pilau la bure full kwenye hotpot ila walininyima nyama na viazi
 
Kwa huu Mkono wako huwezi kutenganisha Ukristo na Ushoga.
Umeona sasa mlivo vilaza, umeshindwa hata kufanya IMAGE SEARCH Google ili ujue hiyo picha nilioweka NI Mimi au nimetoa tuu mtandaoni??? Shida mlikimbia umande Weng wenu kichwani hamna kitu

Duh aisee! 40K? Zaidi ya wiki? Huo NI ufukara WA kupindukia
 
Ahaahah. JAMII FORUM BANA ,KWAHIYO WAMETOA ZILE PICHA ZA VYAKULA NA SCREENSHOT YA POST YA MANGE, WAFANYAZI WA HUU MTANDAO WANA SHUGHULI, WANA EDIT SANA, UZI UFUTWE HUU USHAPOTEZA UHALISIA, IMEKUA KAMA MIMI NDIO MUISLAM SASA
 
πŸ˜‚
Inasikitisha sana mkuu
 
πŸ˜‚
Inasikitisha sana mkuu
Hii Jamiiforums Mtandao WA Aina Yake, hata kama hujatukana wanataka uandike kama wao wanavyotaka, sasa hapo imekosa maana imekua kama NI Mimi nasema Kama kichwa cha habari kinavyosema, yani Ile screenshot niliyoweka ndio wameweka kama Mimi ndio nasema vile, picha ya sahani ya wali na tende WAMETOA, wameacha kikombe cha uji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…