Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

Hiyo ya kupanda mabasi ndio imenitisha zaidi. We need to be more than careful
 
Eti mkuu wa wilaya hana uhakika kama ni vurugu.. sasa kwa nini kapokea simu ? Kwa nini anatoa maelezo bila kua na fact ?

Ameshindwa kusema hata anasubiri report ili awe na fact za kuwaambia watu.
 
wanawahi kujifukiza na nyuzi joto 150 kama alivyosema mzee jana
 
Tungekua na Bunge lenye meno lingeilazimisha serikali kuchukua hatua. Bunge ni rubber stamp tu kwa sababu kwa nyakati hizi ilifaa wafanye vikao vya budget ya dharura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli wagonjwa wametoroka na wana Corona, sasa ndio naanza kuiamini kauli ya Makonda, watu wanapukutika.

Tunaangamia kwa kukosa maarifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…