Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,077
- 1,208
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana yake huduma mbovu
Kwa upole hivyo.Bila shaka mheshimiwa atasema wasibughuziwe, waachwe warudi nyumbani kujifukiza.
Never go there better you die at home!Kwa kinacho endelea Hospitali ya Amaana hakina tofauti na Concentration camp ya Auschwitz ambayo ndo ilikuwa camp mbaya na ya hatari sana.
Wagonjwa badala ya kwenda kupata matumaini kule wanakuwa wako matesoni,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hali hii sjui kama tutapona aiceee!!
Mnateswa ili mkiumwa msiende hospital ila mwende mkaombewe na mkajifukizeKwa kinacho endelea Hospitali ya Amaana hakina tofauti na Concentration camp ya Auschwitz ambayo ndo ilikuwa camp mbaya na ya hatari sana.
Wagonjwa badala ya kwenda kupata matumaini kule wanakuwa wako matesoni,
Sent using Jamii Forums mobile app
He! Tumeanza kudonate corona?Nani atakubali kubaki hospital kwa hotuba ya president wa ziko la Tanzania ya jana, madoctor na manesi hawawezi kurisk wakati mkuu hana time.......acha twende tu Hivyo hivyo.......we're Dona kantri
mama mwenyewe yupo Kizimkazi kajichimbia kimyakumuachia mama.