Ilani ipi ya Uchaguzi inatumika kutekeleza issue hii nyeti?

Kiuhalisia Rais wa Tanzania Yuko juu ya katiba, Bunge, mahakama, Watanzania wote milioni sitini.

Nani au chombo gani kiuhalisia kina meno na kinajiamini cha kumuhoji, kumshtaki au kumtoa madarakani?

Nani amempa idhini, mamlaka SSH kusaini MOU, aliwauliza Watanzania, aliliuliza Bunge kama katiba inavyotaka?

Alifuata katiba au alifanya kinyemela kwa usiri mkubwa? Sababu SSH anajua anachofanya sio sahihi na ni kinyume na katiba na maslahi ya Tanzania.
Rais anashitakiwa kwakuvunja katiba, ila kama watanzania hawajawahi kufanya hivyo, siyo kosa la katiba ni kosa la watanzania wenyewe na ujinga wao
 
Watamshtaki wapi wakati mahakama hazipo huru, kiuhalisia zipo chini ya huyo Rais?

Christina Kichner wa Argentina na alishikiwa kupewa Adhabubya kufungwa miaka sita pamoja za kujiuzulu urais.

Park Geun Hye wa Korea alihukumiwa miaka 24 jela kwa makosa mengi kama kutumia madaraka yake vibaya, rushwa, wizi wa Mali za umma.

Trump anapambana sasa hivi mahakamani.

Jacob Zuma alihukumiwa jela mwaka mmoja kwa wizi, ufisadi, rushwa iliyokithiri, kutumia madaraka vibaya kuwaweka washkaji, wapigaji wenzake Gupta's mafia. Contract nyingi za serikali na upigaji alikuwa anawatumia hao.

Hizi nchi zina mahakama huru ni mihimili ya ukweli zinazojitegemea. Bunge pia ni mhimili unaojitegemea huko ndio maana Ms Park alikuwa impeached. Wote hao waliondolewa madarakani.

Sasa hapa TZ Ndugai alishinikizwa ajiuzulu kwa kutoa maoni unafikiri Bunge la Tanzania ni mhimili huru, unaojitegemea na kuwakilisha maslahi ya Watanzania?
 
Rais anashitakiwa kwakuvunja katiba, ila kama watanzania hawajawahi kufanya hivyo, siyo kosa la katiba ni kosa la watanzania wenyewe na ujinga wao

Mmmh!tuseme kweli nani anauwezo wa kumshtaki Rais hapa Tanzania?
Hawa wateule wa Rais au malaika kutoka mbinguni wanaofata Katiba?
Kwa hapa Tanzania ni ngumu sana na hakuna chombo cha kufanya hivyo kwa muundo huu wa uongozi wa wote kuwa wateuliwa wa Rais.
 
Yatosha kusema,

ATUPISHE!!¡!!!
 
Ndani ya ilani hii ya 2020 ,suala la uboreshaji bandari ni la mtambuka....

Ikitokea mwanaCCM anatupinga katika hili suala basi uanachama wake ni wa "mchongo"....

Nikiwa zangu hapa kibanda cha pombe za "shengena" majohe kwa Sondombwa ninawatambia wanaCHADEMA waliokaa katika meza yao iliyo tupu masuala haya ya bandari yaliyopo ndani ya ilani yetu bora ya uchaguzi 2020[emoji120]

Kuwa mtanzania ni raha sana...

Kuwa mwanaCCM ni raha maradufu [emoji120]

#YetzerHatov[emoji120]

#TanzaniaDaimaDumu[emoji120]
 
Kilabuni unafuata nini?

Viongozi CCCm hawajajibu HOJA hii Hadi sasa.
 
Ndani ya ilani hii ya 2020 ,suala la uboreshaji bandari ni la mtambuka....

Ikitokea mwanaCCM anatupinga katika hili suala basi uanachama wake ni wa "mchongo"....

Nikiwa zangu hapa kibanda cha pombe za "shengena" majohe kwa Sondombwa ninawatambia wanaCHADEMA waliokaa katika meza yao iliyo tupu masuala haya ya bandari yaliyopo ndani ya ilani yetu bora ya uchaguzi 2020[emoji120]

Kuwa mtanzania ni raha sana...

Kuwa mwanaCCM ni raha maradufu [emoji120]

#YetzerHatov[emoji120]

#TanzaniaDaimaDumu[emoji120]
Kuna mahusiano Gani kati ya ilani ya CCM 2020,kuelekeza sirikali kuiboresha bandari na uamuzi wa sasa wa kuzigawa bandari zote za bara Kwa mwarabu pasipo UKOMO?
 
Ndani ya ilani hii ya 2020 ,suala la uboreshaji bandari ni la mtambuka....

Ikitokea mwanaCCM anatupinga katika hili suala basi uanachama wake ni wa "mchongo"....

Nikiwa zangu hapa kibanda cha pombe za "shengena" majohe kwa Sondombwa ninawatambia wanaCHADEMA waliokaa katika meza yao iliyo tupu masuala haya ya bandari yaliyopo ndani ya ilani yetu bora ya uchaguzi 2020[emoji120]

Kuwa mtanzania ni raha sana...

Kuwa mwanaCCM ni raha maradufu [emoji120]

#YetzerHatov[emoji120]

#TanzaniaDaimaDumu[emoji120]
Kukosoana Kwa HOJA ni Moja ya tunu tulizoachiwa na waasisi.

Mwanachama WA CCM kupinga mkataba huu BATILI na FAKE, uanachama wake haupaswi kutiliwa mashaka hata kidogo!!!
 
Mkataba ni FAKE na BATILI sababu uko beyond KATIBA ya nchi.

Angalizo: KATIBA ya nchi iheshimiwe, isipigwe viraka kuruhusu najisi hii.

Mungu ibariki TANZANIA.

Amen
 
Katika ilani hiyo ya 2020, hakuna mahala popote CCM ilimuelekeza Magufuli na Sa100 kuuza au kukodisha bandari yetu ya Dar Kwa Miaka 100 au zaidi, Bali ilielekeza bandari hiyo iboreshwe na idhibiti wizi na ucheleweshaji wa mizigo Kutoka bandarini na kuongeza ufanisi Ili kuhudumia wananchi na majirani zetu.
Kwani walikuelezea na mbinu watakazotumia katika kuleta tija kwenye bandari? Kwa nini tusiamini kwamba hiki anachokifanya Samia ndiyo ilani yenyewe? Mama apewe muda wa kufanya kazi. Wapinzani subirini siku mkipata madaraka! Naunga mkono hoja ya kuongeza uwekezaji kwenye bandari kwa kuwakaribisha DPW!
 
Kwa Katiba ipi?

Kwa ilani ipi itokanayo Kwa uchaguzi upi?

SHERIA ya manunuzi na tenda imekiukwa!!!

Kumkabidhi mwarabu bandari zote za bara bila UKOMO ni tusi kuu Kwa Katiba yetu na Watanganyika.

Hatutakubali!!
 
Ulifanyika uchaguzi 2020, Chama Cha mapinduzi kilimpa Magufuli na sa100 ilani waliyopitia nayo Nchi nzima kuinadi Kwa wananchi.

Katika ilani hiyo ya 2020, hakuna mahala popote CCM ilimuelekeza Magufuli na Sa100 kuuza au kukodisha bandari yetu ya Dar Kwa Miaka 100 au zaidi, Bali ilielekeza bandari hiyo iboreshwe na idhibiti wizi na ucheleweshaji wa mizigo Kutoka bandarini na kuongeza ufanisi Ili kuhudumia wananchi na majirani zetu.

Bandari ya Dar ni kitovu Cha Uchumi wetu, hivyo suala hili la kuuza bandari ni la kitaifa, linapasa litokane na ilani ya 2025.

Awamu ya nne, Rais Kagame aliwahi kuiomba bandari ya Dar aisimamie Kwa ufanisi, ombi Hilo wananchi tulilichukulia kama dharau Kwa Nchi yetu na tulikataa Kwa pamoja na kukubaliana kuwa tunaweza kuisimamia wenyewe bandari yetu.

Kama CCM haikuruhusu bandari kukodishwa kupitia ilani Ile ya 2020, Serikali ya Sa100 inatumia ilani ipi kutaka kuibinafsisha bandari ya Dar Kwa miaka 100 au zaidi, bila kupata ridhaa ya chama na wananchi kupitia SANDUKU la KURA?

Nawasilisha🙏🙏🙏🙏🙏

"Deep within man dwell those slumbering powers; powers that would astonish him, that he never dreamed of possessing; forces that would revolutionize his life if aroused and put into action"- Orison Sweet Marden
 
.
 
Wanaccm Wanarudisha kadi sababu za kurudisha kadi hazisemwi!!

Je, kugawa bandari zetu Kwa wageni haiwezi kuwa sababu mojawapo wananchi kurudisha kadi kuonyesha kutokubaliana na uamuzi huo mbovu?
 
Wakati mwingine ili uendelee unahitaji maamuzi ambayo sio popular kama unayoyawaza mleta mada, na kikubwa kinachokusumbua ni fear of unknown.

Hao wazalendo unaowataka waendeshe bandari ndio wabinafsi kupita maelezo ni bora tuwe na partnership ambayo tutakuwa na uhakika wa steady revenue collection.
Ule mkataba wa Dpw ni partnership?
 
Wakati mwingine ili uendelee unahitaji maamuzi ambayo sio popular kama unayoyawaza mleta mada, na kikubwa kinachokusumbua ni fear of unknown.

Hao wazalendo unaowataka waendeshe bandari ndio wabinafsi kupita maelezo ni bora tuwe na partnership ambayo tutakuwa na uhakika wa steady revenue collection.
Kama tumeshindwa ni vyema tusaidiwe ! In Paskali voice !! 🙏
 
Usalama iko chini ya Rais. Hakuna chombo Tanzania chenye uwezo kiuhalisia kuhoji au kumuita Rais atoe ufafanuzi amefikiaje maamuzi fulani.

Trump ana kesi kadhaa na amefikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili.

Boris Johnson ameitwa kujitetea na kufafanua maamuzi yake wakati wa COVID na tume maalum ya uchunguzil

Ikumbukwe tayari alishinikizwa kuwajibika na kujiuzulu Uwaziri mkuu.

Wachunguzi wamechukua mawasiliano yake ya simu, chats, notebook, SMS, WhatsApps, diaries, zake, yeye pia atahojiwa na tume.

Ukijua maamuzi yako kama siyo sahihi yatachunguzwa na kuna uwezekano wa kuwajibika na kuwajibishwa utajitahidi kuchukua maamuzi sahihi tofauti na ukijua hakuna uwajibikaji wala kuwajibishwa wala uwazi.
Siku zote munaambiwa tatizo lipo kwenye Katiba ninyi mnashikilia matukio tu kama hata hili la Bandari ni matukio tu haya !!
 
Kiuhalisia Rais wa Tanzania Yuko juu ya katiba, Bunge, mahakama, Watanzania wote milioni sitini.

Nani au chombo gani kiuhalisia kina meno na kinajiamini cha kumuhoji, kumshtaki au kumtoa madarakani?

Nani amempa idhini, mamlaka SSH kusaini MOU, aliwauliza Watanzania, aliliuliza Bunge kama katiba inavyotaka?

Alifuata katiba au alifanya kinyemela kwa usiri mkubwa? Sababu SSH anajua anachofanya sio sahihi na ni kinyume na katiba na maslahi ya Tanzania.
Siamini kwamba Mkuu wa Nchi anaweza akafanya kitu chochote kinyume na Katiba !!
Ukisema Katiba ina mapungufu hapo nitakuelewa !!
 
Back
Top Bottom