Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Historia inaonesha Tz haijawai faidika na partnership za uwekezaji. Rejea makinikia, mikataba ya Madini ambayo imeshawai zungumziwa.Wakati mwingine ili uendelee unahitaji maamuzi ambayo sio popular kama unayoyawaza mleta mada, na kikubwa kinachokusumbua ni fear of unknown.
Hao wazalendo unaowataka waendeshe bandari ndio wabinafsi kupita maelezo ni bora tuwe na partnership ambayo tutakuwa na uhakika wa steady revenue collection.