Wakati mwingine ili uendelee unahitaji maamuzi ambayo sio popular kama unayoyawaza mleta mada, na kikubwa kinachokusumbua ni fear of unknown.
Hao wazalendo unaowataka waendeshe bandari ndio wabinafsi kupita maelezo ni bora tuwe na partnership ambayo tutakuwa na uhakika wa steady revenue collection.