Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Kwa suala la kuniweka mtaani mwaka wa 3 bila ajira KURA YANGU HAPATI.
 
Kampeni za kwenye UCHAGUZI WOWOTE NI SERA. Anachoeleza Rais Magufuli ni SERA za Chama chake, CCM, kama kilivyomtuma mwaka 2015 na sasa anaonyesha waliyofanya na waliyobakiza au yaliyosalia kiutekelezaji. Haya ndio wameyaweka kwenye SERA ZAO na ametumwa kuyaelezea kama yalivyo ndani ya MANIFESTO YAO MPYA YA 2020 - 2025. Sasa ifuatilie kwa makini halafu ndio uikosoe!
 
MAPYA YAKO KWA KINA ROBERT AMSTERDAM MAANA WANASUBIRI KUKAMILISHIWA AHADI NA USHOGA.
 
Hiyo pia itoshe kumnyima kura, kuna muda huwa hasimami kama kiongoz mkuu wa nchi anasimama kama Mccm zaidi.
 
Acha kumshirikisha Mungu kwa watekaji, tunamtaka azor gwanda, akwilina, ben saanane na walomshambulia lissu kwa risasi zaidi ya 15 mwilini
 
JPM waambie utawaletea super market kila mtaa.
 
Hawezi kuzungumzia kitu ambacho hana uwezo nacho.kifupi tu ni kuwa Magufuli.amewapotezea muda watanzania kwa kuwarudisha nyuma.
 
Acha kumshirikisha Mungu kwa watekaji, tunamtaka azor gwanda, akwilina, ben saanane na walomshambulia lissu kwa risasi zaidi ya 15 mwilini

Wewe funga vidole vyako usiharibu key board bure hujui Mungu anavyofanyakazi. Labda ni kusaidie hivi, Akwilina ni muhanga parsee wa ulaghai wa CHADEMA wa kuhamasisha maandamano na uasi.

Azori alikutwa na madhila katika eneo ambalo uasi wa kutumia silaha na ugaidi vilikuwa vinachipuka na kumea . Hivi wale askari 8 waliodondoshwa wakiwa kazini, viongozi wa CCM na wananchi wengine wengi walopoteza maisha huku kusini nani wa kuwasemea? Ina maana uhai wao thamani yake ni ya mnyama ndio sababu hawa kumbukwi. Mko kila siku mkikumbusha hawa mnao waona ni wenu ila wengine wote waliopoteza maisha wakikupigania ili uweze kuandika hiki unachoandika hapa huoni thamani ya maisha yao.

Umeona kampeni ya wagombea wa CCM leo Ikungi? Mungu ninaye muamini mimi wakati wana Waisraeli wanaiteka Yeriko na kuikalia aliwapa amri kuangamiza na kuteketeza kila kitu ndani ya mji ule mtoto , mke , mume, mnyama nk. Wote akasemema ni sadaka kwake. Chuma, shaba na dhahabu ndivyo vilivyo pona na kuwekwa katika hazina ya Bwana. Nini mamluki?
 
Ebana,safari hii piga chini muuaji! Ikulu ni sehemu takatifu,si pango la wauaji!
 
Kuna wakati wanyama wetu hapa Tanzania walichukuliwa kupekekwa uarabuni na pakistani kutengenezea mbuga huko. Hili kwa vile mmeshikiwa akili na Lissu na kesha walegeza kama mlenda hamliongelei. Bali mwawaonea husda wenzenu wa Chato
Kwanini walipelekwa na nani aliwapeleka na wakati wanapelekwa vip serikali ya ccm ilikua likizo au?.na je uyu mgombea wa sasa alikua sehemu ya hiyo serikali au?
 
Kuna wakati wanyama wetu hapa Tanzania walichukuliwa kupekekwa uarabuni na pakistani kutengenezea mbuga huko. Hili kwa vile mmeshikiwa akili na Lissu na kesha walegeza kama mlenda hamliongelei. Bali mwawaonea husda wenzenu wa Chato
Waliofanya hivyo ni CCM!Au watawala walikuwa nani?Shwain,piga chini huyu Mobutu Seseko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…