secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Kwani wameshaongezewa hizo increment,mishahara na kupandishwa madaraja!?Mungu fundi sana kulibeba liwe jiwe. kwa ilani hii watumishi increment na madaraja wangeendelea kuota. yani wangelimia ulimi..
Manake pamoja na uchumi kushuka corona mwamba angekomaa kutandaza mivyuma ardhini...Mungu ni mwema.
Kwa kuwa jumla ya km ni 4210.Kama Dar - Moro ni km 300 imechukua miaka 5 na bado haijakamilika kwa hesabu za cross multiplication km 4,210 itachukua miaka mitano tena ambayo ni 2020 to 2025?
Miaka 70 tunajenga reli Tu....Mkuu, ulikuwa unakwenda vizuri sana, na nikataka kukupa 'like' ya furaha kabisa kwa fikra pevu.
Lakini umekosea padogo tu, na siwezi kukupa nusu 'like', kwa hiyo nakupa 'like' kamili.
Kama imechukua miaka mitano toka Dar hadi Moro, km300, ina maana kila mwaka mmoja zinajengwa km 60 tu!
km300 /5 = 60 km
Kwa hiyo, kwa hizo km 4,210/60 = 70.
Itachukua miaka 70 kujenga reli hizo kama kasi ya ujenzi itakuwa sawa na hii inayotumika kwa kipande cha Dar hadi Morogoro!
We kama msengeremeee kweliii.Mungu fundi sana kulibeba liwe jiwe. kwa ilani hii watumishi increment na madaraja wangeendelea kuota. yani wangelimia ulimi..
Manake pamoja na uchumi kushuka corona mwamba angekomaa kutandaza mivyuma ardhini...Mungu ni mwema.
Mmapiga hesabu za kizamani sana. Hivii, kama hizo kilometres tajwa zote zikiwekwa kandarasi kwa kila kilometre 300 kandarasi mmoja bado tutatumia miaka 70?Mkuu, ulikuwa unakwenda vizuri sana, na nikataka kukupa 'like' ya furaha kabisa kwa fikra pevu.
Lakini umekosea padogo tu, na siwezi kukupa nusu 'like', kwa hiyo nakupa 'like' kamili.
Kama imechukua miaka mitano toka Dar hadi Moro, km300, ina maana kila mwaka mmoja zinajengwa km 60 tu!
km300 /5 = 60 km
Kwa hiyo, kwa hizo km 4,210/60 = 70.
Itachukua miaka 70 kujenga reli hizo kama kasi ya ujenzi itakuwa sawa na hii inayotumika kwa kipande cha Dar hadi Morogoro!
Kwani wameshaongezewa hizo increment,mishahara na kupandishwa madaraja!?
au hali iko vile vile
hWe kama msengeremeee kweliii.
Kwani we usipo lipwa pesa lihali kizazi chako wakaja ku enjoy shida iko wapiii.
Tatizo letu watanzania tunajiangalia sanaaa sisi bila kujali watoto wetu au uzao wetu.
Sasa hivi nchi ina Amani kutokana na Fikra za mbali za walio tutangulia viongozi wetu.
Hata utukane ndo basi tena harudi.We kama msengeremeee kweliii.
Kwani we usipo lipwa pesa lihali kizazi chako wakaja ku enjoy shida iko wapiii.
Tatizo letu watanzania tunajiangalia sanaaa sisi bila kujali watoto wetu au uzao wetu.
Sasa hivi nchi ina Amani kutokana na Fikra za mbali za walio tutangulia viongozi wetu.
km 294+km 130+km 250+km 411+km 360+km 156+km 356+km 1,253+km 1,000=4,210
Kama Dar - Moro ni km 300 imechukua miaka 5 na bado haijakamilika kwa hesabu za cross multiplication km 4,210 itachukua miaka mitano tena ambayo ni 2020 to 2025?
Mmapiga hesabu za kizamani sana. Hivii, kama hizo kilometres tajwa zote zikiwekwa kandarasi kwa kila kilometre 300 kandarasi mmoja bado tutatumia miaka 70?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mbona umeni quote kama vile nimekutukana...!!??h
Hata utukane ndo basi tena harudi.
hahahaha ila watu tunakosea sn magufuli madarakani aliingia mwezi wa 10/2015 sizani alianza na sgr hapo hapo naona tunachanganya alivyo kaa madarakani na tareh yakuanza ujezi wa sgr. naona tupunguze siasa tutafute ukweli tujenge hoja.
kingine naona hzo ni road map plan zina faida nying tu kwa taifa hata kama hazita tekelezeka. kwamba inaonyesha taifa lina maono mapana hata muwekezaji akija anaona mazur katika fikra zetu ndani ya miaka 20 mbele. kingine akija raisi mwengine awe na muungozo pia utakao mpa mawazo ya njisi yakuendeleza hiyo miradi
kweli mkuu tulifeli sn awamu iliopita ubabe ulikuwa mwingi na kutisha watuDeni la taifa mpaka sasa ni 60t, uwezo wa kulilipa ukoje? Kipande cha Dar-Moro kilichotarajiwa kukamilika Dec 2019, mpaka sasa bado kukamilika. Ni muwekezaji gani anakuja zaidi ya mchina aliyekuja na $10b kwenye bandari ya Bagamoyo akagomewa? Hakuna muwekazaji yoyote toka Western anaweza kuja kwenye nchi ambayo wenye Bureau de change walioporwa fedha zao mchana kweupe na dola, na ikaonekana ni uzalendo. Watu wa Western wanajua bado kuna vimelea vya Unyerere vya kutaifisha mali za wawekezaji.
Umetumia neno "kama", kwa hiyo hujui.Mmapiga hesabu za kizamani sana. Hivii, kama hizo kilometres tajwa zote zikiwekwa kandarasi kwa kila kilometre 300 kandarasi mmoja bado tutatumia miaka 70?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Umetumia neno "kama", kwa hiyo hujui.
Unasema "hesabu za kizamani"? Kwani kunakokwamisha/chelewesha ujenzi sasa hivi ni nini?
Hiyo hela ya kulipa kandarasi wa kila kilometer 300 (yaani jumla yao wakiwa makandarasi 14); bado wewe unaona unazo hesabu mpya hapo?
Wewe 'Nyang'omboli' (Nyangomboli?) huwa nakuona akili zako kama lilivyo jina lako.
Mungu fundi sana kulibeba liwe jiwe. kwa ilani hii watumishi increment na madaraja wangeendelea kuota. yani wangelimia ulimi..
Manake pamoja na uchumi kushuka corona mwamba angekomaa kutandaza mivyuma ardhini...Mungu ni mwema.
Huyo jamaa bado yuko kwenye zile propaganda za mpika data kuwa nch hii ni tajiri sana, na fedha ziko! Huyo alikuwa anaamini serikali inakusanya 1.3t+@month. Ukimuuliza ni kipi kimefanya deni lipae kwa 20t within 5yrs wala hajui. Ukitaka kujua hajui lolote mwambie aorodhoshe miradi iliyojengwa ya 20t ndani ya 5yrs, kisha aonyeshe kodi iliyokusanywa iliingia wapi hajui lolote.
Mbona umeni quote kama vile nimekutukana...!!??
wakati nimekuuliza kistaarabu!!?
Haya yalikuwa maono ya Magufuri,ila huyu mama hataweza kuyatimiza
Sijabisha...whatever way of sarcasm you will also die
toka 2015 mpaka 2020, jumla chadema imechukua ruzuku kiasi gan na nn imefanyia izo ruzuku?