Uchaguzi 2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025
Mungu fundi sana kulibeba liwe jiwe. kwa ilani hii watumishi increment na madaraja wangeendelea kuota. yani wangelimia ulimi..
Manake pamoja na uchumi kushuka corona mwamba angekomaa kutandaza mivyuma ardhini...Mungu ni mwema.
Kwani wameshaongezewa hizo increment,mishahara na kupandishwa madaraja!?
au hali iko vile vile
 
Kama Dar - Moro ni km 300 imechukua miaka 5 na bado haijakamilika kwa hesabu za cross multiplication km 4,210 itachukua miaka mitano tena ambayo ni 2020 to 2025?
Kwa kuwa jumla ya km ni 4210.
Mpk sasa imechukuwa miaka 5 kujenga km 300 tu, bado km 3910.

Sasa:-
Kama km 300----zimechukua miaka 5
Je, km 3910.......zitachukuwa miaka..X ?

Hapa ndiyo tunafanya cross multiplication:

km 3910 x miaka 5
X = ---------------------------------
km 3000
X = miaka 65.2

CCM waongo sana.
 
Mkuu, ulikuwa unakwenda vizuri sana, na nikataka kukupa 'like' ya furaha kabisa kwa fikra pevu.

Lakini umekosea padogo tu, na siwezi kukupa nusu 'like', kwa hiyo nakupa 'like' kamili.

Kama imechukua miaka mitano toka Dar hadi Moro, km300, ina maana kila mwaka mmoja zinajengwa km 60 tu!
km300 /5 = 60 km

Kwa hiyo, kwa hizo km 4,210/60 = 70.
Itachukua miaka 70 kujenga reli hizo kama kasi ya ujenzi itakuwa sawa na hii inayotumika kwa kipande cha Dar hadi Morogoro!
Miaka 70 tunajenga reli Tu....
Hii miradi ya kishamba ni Bora isingekuwepo tu
 
Mungu fundi sana kulibeba liwe jiwe. kwa ilani hii watumishi increment na madaraja wangeendelea kuota. yani wangelimia ulimi..
Manake pamoja na uchumi kushuka corona mwamba angekomaa kutandaza mivyuma ardhini...Mungu ni mwema.
We kama msengeremeee kweliii.

Kwani we usipo lipwa pesa lihali kizazi chako wakaja ku enjoy shida iko wapiii.

Tatizo letu watanzania tunajiangalia sanaaa sisi bila kujali watoto wetu au uzao wetu.

Sasa hivi nchi ina Amani kutokana na Fikra za mbali za walio tutangulia viongozi wetu.
 
Mkuu, ulikuwa unakwenda vizuri sana, na nikataka kukupa 'like' ya furaha kabisa kwa fikra pevu.

Lakini umekosea padogo tu, na siwezi kukupa nusu 'like', kwa hiyo nakupa 'like' kamili.

Kama imechukua miaka mitano toka Dar hadi Moro, km300, ina maana kila mwaka mmoja zinajengwa km 60 tu!
km300 /5 = 60 km

Kwa hiyo, kwa hizo km 4,210/60 = 70.
Itachukua miaka 70 kujenga reli hizo kama kasi ya ujenzi itakuwa sawa na hii inayotumika kwa kipande cha Dar hadi Morogoro!
Mmapiga hesabu za kizamani sana. Hivii, kama hizo kilometres tajwa zote zikiwekwa kandarasi kwa kila kilometre 300 kandarasi mmoja bado tutatumia miaka 70?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wameshaongezewa hizo increment,mishahara na kupandishwa madaraja!?
au hali iko vile vile

We kama msengeremeee kweliii.

Kwani we usipo lipwa pesa lihali kizazi chako wakaja ku enjoy shida iko wapiii.

Tatizo letu watanzania tunajiangalia sanaaa sisi bila kujali watoto wetu au uzao wetu.

Sasa hivi nchi ina Amani kutokana na Fikra za mbali za walio tutangulia viongozi wetu.
h

Hata utukane ndo basi tena harudi.
 
km 294+km 130+km 250+km 411+km 360+km 156+km 356+km 1,253+km 1,000=4,210

Kama Dar - Moro ni km 300 imechukua miaka 5 na bado haijakamilika kwa hesabu za cross multiplication km 4,210 itachukua miaka mitano tena ambayo ni 2020 to 2025?

Bora hata umewasaidia hao vilaza walioozoea kuishi kwenye propaganda. Huwa nikitazama ilani ya ccm nacheka mpaka basi. Hiyo ilani imekuwa ni list ya matamanio ya wanaccm, ukiwauliza hela zitatoka wapi, wanasema Magufuli aliwaambia nchi hii ni tajiri! Hilo la SGR kipande cha Dar-Moro ni sehemu tu ya mfani wa Njozi mfu za ccm.
 
Mmapiga hesabu za kizamani sana. Hivii, kama hizo kilometres tajwa zote zikiwekwa kandarasi kwa kila kilometre 300 kandarasi mmoja bado tutatumia miaka 70?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Unaweka kandarasi una hela? Magufuli kakaa miaka mitano deni la taifa limepaa kwa 20t na hakuna uhakika wa kulipa, ndio itakuwa kuweka mkandarasi @300km? Amka boss Njozi zitakufanya uloweshe godoro.
 
hahahaha ila watu tunakosea sn magufuli madarakani aliingia mwezi wa 10/2015 sizani alianza na sgr hapo hapo naona tunachanganya alivyo kaa madarakani na tareh yakuanza ujezi wa sgr. naona tupunguze siasa tutafute ukweli tujenge hoja.

kingine naona hzo ni road map plan zina faida nying tu kwa taifa hata kama hazita tekelezeka. kwamba inaonyesha taifa lina maono mapana hata muwekezaji akija anaona mazur katika fikra zetu ndani ya miaka 20 mbele. kingine akija raisi mwengine awe na muungozo pia utakao mpa mawazo ya njisi yakuendeleza hiyo miradi

Deni la taifa mpaka sasa ni 60t, uwezo wa kulilipa ukoje? Kipande cha Dar-Moro kilichotarajiwa kukamilika Dec 2019, mpaka sasa bado kukamilika. Ni muwekezaji gani anakuja zaidi ya mchina aliyekuja na $10b kwenye bandari ya Bagamoyo akagomewa? Hakuna muwekazaji yoyote toka Western anaweza kuja kwenye nchi ambayo wenye Bureau de change walioporwa fedha zao mchana kweupe na dola, na ikaonekana ni uzalendo. Watu wa Western wanajua bado kuna vimelea vya Unyerere vya kutaifisha mali za wawekezaji.
 
kweli mkuu tulifeli sn awamu iliopita ubabe ulikuwa mwingi na kutisha watu
 
Mmapiga hesabu za kizamani sana. Hivii, kama hizo kilometres tajwa zote zikiwekwa kandarasi kwa kila kilometre 300 kandarasi mmoja bado tutatumia miaka 70?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Umetumia neno "kama", kwa hiyo hujui.

Unasema "hesabu za kizamani"? Kwani kunakokwamisha/chelewesha ujenzi sasa hivi ni nini?

Hiyo hela ya kulipa kandarasi wa kila kilometer 300 (yaani jumla yao wakiwa makandarasi 14); bado wewe unaona unazo hesabu mpya hapo?

Wewe 'Nyang'omboli' (Nyangomboli?) huwa nakuona akili zako kama lilivyo jina lako.
 
Haya yalikuwa maono ya Magufuri,ila huyu mama hataweza kuyatimiza
 
Huyo jamaa bado yuko kwenye zile propaganda za mpika data kuwa nch hii ni tajiri sana, na fedha ziko! Huyo alikuwa anaamini serikali inakusanya 1.3t+@month. Ukimuuliza ni kipi kimefanya deni lipae kwa 20t within 5yrs wala hajui. Ukitaka kujua hajui lolote mwambie aorodhoshe miradi iliyojengwa ya 20t ndani ya 5yrs, kisha aonyeshe kodi iliyokusanywa iliingia wapi hajui lolote.
 
Mungu fundi sana kulibeba liwe jiwe. kwa ilani hii watumishi increment na madaraja wangeendelea kuota. yani wangelimia ulimi..
Manake pamoja na uchumi kushuka corona mwamba angekomaa kutandaza mivyuma ardhini...Mungu ni mwema.

whatever way of sarcasm you will also die
 
Huyo jamaa bado yuko kwenye zile propaganda za mpika data kuwa nch hii ni tajiri sana, na fedha ziko! Huyo alikuwa anaamini serikali inakusanya 1.3t+@month. Ukimuuliza ni kipi kimefanya deni lipae kwa 20t within 5yrs wala hajui. Ukitaka kujua hajui lolote mwambie aorodhoshe miradi iliyojengwa ya 20t ndani ya 5yrs, kisha aonyeshe kodi iliyokusanywa iliingia wapi hajui lolote.

toka 2015 mpaka 2020, jumla chadema imechukua ruzuku kiasi gan na nn imefanyia izo ruzuku?
 
Haya yalikuwa maono ya Magufuri,ila huyu mama hataweza kuyatimiza

Magufuli alikuwa na maono kama mlevi yoyote yule, ni wapi angepata pesa za kutekeleza maono yake, wakati mikopo migumu aliyokopa ili kusaka political millage ilikuwa inatakiwa aanze marejesho, huku akiwa hana mradi wowote unaozalisha kwa mikopo yake? Huyo mama hapo alipo kaaachiwa jumba bovu hajui analipaje madeni, wakati huo huo kufuata maono ya miradi ya kukurupuka.
 
toka 2015 mpaka 2020, jumla chadema imechukua ruzuku kiasi gan na nn imefanyia izo ruzuku?

Nenda kawaulize viongozi na wanachama wa cdm wao wana majibu ya fedha walizochukua, na kile walichofanya.
 
Back
Top Bottom