Ile dhana potofu kuwa ufisadi ni maendeleo sasa haipo. Kila pesa ya serikali inafanya kazi inavyostahili

Kutoka malalamiko ya kuibiwa kura mpaka malalamiko ya kutonunua Bvr kit mpya!
 
Naweka rekodi vizuri sheikh, kutokununua bvr kit mpya lengo ilikuwa ni kufanikisha huo upuuzi wa wizi wa kura.
 
Wewe ndugu, unaleta swaga mpya? Bvr kit?
 
Njoo huku mwanza halmashauri ya ilemela, utajionea jinsi mbunge na mkurugenzi wanavyipiga hela. Madiwani wao wanahongwa tu elfu 50 wanabaki kupiga tu makofi. Kwa kifupi awamu hii ndiyo watu wanapiga hela kinoma
 
Labuda
 
Kwa nchi za kiafrika ni ndoto kumaliza ufisadi,, angalia we mwenyewe chaguzi,, ile ni rushwa kubwa
 
Samahani mkuu hivi ile Mv Dar es Salaam unatumika wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…