Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
- Thread starter
- #21
Kutoka malalamiko ya kuibiwa kura mpaka malalamiko ya kutonunua Bvr kit mpya!Hakukuwa na majibu zaidi ya utapeli na hofu ya PAC ili wasitekwe na kundi la jiwe la watu wasiojulikana.
Uchaguzi mkuu, wakati wa JK uchaguzi wa 2015 kulikuwa na BVR KITI mpya nchi nzima, uchaguzi ule haikufika 300b, lakini uchaguzi huu wa majizi wanasema wametumia 300b+, wakati hawajanunua hata BVR KIT moja, na wakati wa kujiandikisha walikuwa wanapita na tano chakavu. Ni wapi majizi yamepeleka 300b+?