Ile kafara ya YESU KRISTO ilienda kwa nani? MUNGU AU SHETANI?

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,620
Reaction score
3,165
Yesu alipokufa ile kafara yake ilienda kwa nani? Kama ni kwa MUNGU inamaana alijipigia ngoma mwenyew na kucheza rejea

Yohana 1 kifupi inaeleza aliyekuja kufa msalabani ndo MUNGU mwenyewe. Kama ilienda kwa shetani inamaanisha MUNGU hana power mpaka ajitoe kafara kwa shetani maana unaposema kafara ni kitu unachotoa ili upate kitu chenye thamani zaidi au kuna kipi ambacho sijui.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti,,, na mwanadamu ilitakiwa afe kutokana na dhambi yake ya kula tunda bustanini.......

Sasa sheria haijui msamaha, na hukukuwa na mbadala wa kumwokoa mwanadamu na mauti.......

Hivyo MUNGU kwa upendo wake, akajitoa kufa kwa ajili yetu ili tusife milele.......

Habari ya kafara ilienda kwa nani, MUNGU ndiye mwenye uwezo wa kusamehe...... na kama YESU angekuwa ametenda dhambi asingefufuka baada ya mauti yake.......

Be blessed mkuu!
 
Mshahara wa dhambi ni mauti?
 
Biblia inajichanganya 🤣🤣
 
Kama umeuliza ili uelewe kaa chini tulia usome uelewe, ila kama umeuliza ili uchalenj, watu watajua wewe ni mfuasi wa mudi unaetaka kukosoa.
 
😂 sababu ya kufa kwa yesu kwenyewe ni illogical yaani haiingii akilini. Kama chanzo cha matatizo ni shetani kulikuwa na sababu gani ya kumuua mtu kwaajili ya ukombozi badala ya kuondoa chanzo cha tatizo?

Ukombozi wenyewe wakristo wanaoudai ni upi huo maana sijaona cha ukombozi labda mnieleweshe pengine sielewi.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti,,, na mwanadamu ilitakiwa afe kutokana na dhambi yake ya kula tunda bustanini.......

Sasa sheria haijui msamaha, na hukukuwa na mbadala wa kumwokoa mwanadamu na mauti.......

Hivyo MUNGU kwa upendo wake, akajitoa kufa kwa ajili yetu ili tusife milele.......

Habari ya kafara ilienda kwa nani, MUNGU ndiye mwenye uwezo wa kusamehe...... na kama YESU angekuwa ametenda dhambi asingefufuka baada ya mauti yake.......

Be blessed mkuu!
Sina lengo baya ndugu naomba kuuliza wale waliokufa kabla ya kafara ya yesu kutolewa hawatafufuka watakuwa wamekufa milele
 
Mtu akiokolewa kutoka kwenye maji, anatoka akiwa mkavu au anavutwa nje. Lakini ukombozi unaozungumziwa kidini umebaki kuwa wa kiroho/nadharia maana dunia bado ina vita, magonjwa, umaskini, na uovu uleule uliokuwepo kabla ya kifo hicho. Kama matokeo hayo hayaonekani kwa macho wala kupimika. Je ukombozi wa msalabani ni upi?
 
Sina lengo baya ndugu naomba kuuliza wale waliokufa kabla ya kafara ya yesu kutolewa hawatafufuka watakuwa wamekufa milele
Asante mkuu...

Watu wa zamani walikuwa wanahesabiwa haki kwa kumwamini MUNGU hapakuwa na ubatizo.....kama akina Ibrahim

Sasa MUNGU alipowatoa israel utumwani alitaka awafanye wawe kielelezo kwa mataifa mengine....

Akawapa maelezekezo kama taifa takatifu, na maelekezo ya ibada...

Ambapo aliwaambia kama mtu atatenda dhambi itapaswa atoe kafara ya kondoo au njiwa kwa ambae hana uwezo....

Sasa huyo mnyama itabidi umuchinje na unaungama dhambi zako, kwa hiyo yeye anakufa kwa ajili yako!

Woote hao wanyama walimwakilisha YESU aliyekufa msalabani....
 
Sina lengo baya ndugu naomba kuuliza wale waliokufa kabla ya kafara ya yesu kutolewa hawatafufuka watakuwa wamekufa milele
Watafufuka..... na pia wanadamu wote haijalishi ni mwema au muovu watafufuka wote....

Kutakuwa na ufufuo wa uzima na ufufuo wa mauti
 
Yesu alipokufa ile kafara yake ilienda kwa nani? Kama ni kwa MUNGU inamaana alijipigia ngoma mwenyew na kucheza rejea

Yohana 1 kifupi inaeleza aliyekuja kufa msalabani ndo MUNGU mwenyewe. Kama ilienda kwa shetani inamaanisha MUNGU hana power mpaka ajitoe kafara kwa shetani maana unaposema kafara ni kitu unachotoa ili upate kitu chenye thamani zaidi au kuna kipi ambacho sijui.
Hapo nashangaa!!! Huenda ilienda kwa shetani ili aache kubishana na Mungu. Ni kichekesho kwani bado utajiri wa dunia ni wa shetani. Watu bado wanampa shetani kafara ili watoboe!! Huyo Mungu wa Israel yupo wapi?
 
Mungu wa Israel hata umpe nini Hana Msaada wowote watu wameshtukia Bora Shetani ana nafuu
 
Mshahara wa dhambi ni mauti,,, na mwanadamu ilitakiwa afe kutokana na dhambi yake ya kula tunda bustanini.......

Sasa sheria haijui msamaha, na hukukuwa na mbadala wa kumwokoa mwanadamu na mauti.......

Hivyo MUNGU kwa upendo wake, akajitoa kufa kwa ajili yetu ili tusife milele.......

Habari ya kafara ilienda kwa nani, MUNGU ndiye mwenye uwezo wa kusamehe...... na kama YESU angekuwa ametenda dhambi asingefufuka baada ya mauti yake.......

Be blessed mkuu!
thank you
Kama ni hivyo unamaanisha waliozaliwa before kuzaliwa yehova wamekufa milele hawatafufuliwa?
 
Mshahara wa dhambi ni mauti,,, na mwanadamu ilitakiwa afe kutokana na dhambi yake ya kula tunda bustanini.......

Sasa sheria haijui msamaha, na hukukuwa na mbadala wa kumwokoa mwanadamu na mauti.......

Hivyo MUNGU kwa upendo wake, akajitoa kufa kwa ajili yetu ili tusife milele.......

Habari ya kafara ilienda kwa nani, MUNGU ndiye mwenye uwezo wa kusamehe...... na kama YESU angekuwa ametenda dhambi asingefufuka baada ya mauti yake.......

Be blessed mkuu!
Si imeandikwa kuwa kwa jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwana wake wa pekee ili kila aaminiye asipotee bali apate uzima wa milele?

Rejea Yohana 3:16
 
Back
Top Bottom