Psalm_27
JF-Expert Member
- Aug 27, 2026
- 1,648
- 3,290
Post namba 12 nimekwisha jibu mkuuthank you
Kama ni hivyo unamaanisha waliozaliwa before kuzaliwa yehova wamekufa milele hawatafufuliwa?
Post namba 12 nimekwisha jibu mkuuthank you
Kama ni hivyo unamaanisha waliozaliwa before kuzaliwa yehova wamekufa milele hawatafufuliwa?
mm ni mfuasi wa KRISTO napenda kujifunza tu karibuKama umeuliza ili uelewe kaa chini tulia usome uelewe, ila kama umeuliza ili uchalenj, watu watajua wewe ni mfuasi wa mudi unaetaka kukosoa.
ukombozi naouzungumza ni ule wa kiroho mwanadamu alipotenda dhambi aliweka mpaka kati ya MUNGU na mwanadamu kristo alikuja kuuondoa huo mpakasababu ya kufa kwa yesu kwenyewe ni illogical yaani haiingii akilini. Kama chanzo cha matatizo ni shetani kulikuwa na sababu gani ya kumuua mtu kwaajili ya ukombozi badala ya kuondoa chanzo cha tatizo?
Ukombozi wenyewe wakristo wanaoudai ni upi huo maana sijaona cha ukombozi labda mnieleweshe pengine sielewi.
ni wa kiimani zaidi ili uupate unapaswa kuamini tuMtu akiokolewa kutoka kwenye maji, anatoka akiwa mkavu au anavutwa nje. Lakini ukombozi unaozungumziwa kidini umebaki kuwa wa kiroho/nadharia maana dunia bado ina vita, magonjwa, umaskini, na uovu uleule uliokuwepo kabla ya kifo hicho. Kama matokeo hayo hayaonekani kwa macho wala kupimika. Je ukombozi wa msalabani ni upi?
upo sahih kwa mawazo yakoMungu wa Israel hata umpe nini Hana Msaada wowote watu wameshtukia Bora Shetani ana nafuu
inamaana alimtoa kwa shetan tena kwann amchukuwekoSi imeandikwa kuwa kwa jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwana wake wa pekee ili kila aaminiye asipotee bali apate uzima wa milele?
Rejea Yohana 3:16
nimekupata swali linabaki ile kafara ya YESU ilienda kwa MUNGU? Au wapAsante mkuu...
Watu wa zamani walikuwa wanahesabiwa haki kwa kumwamini MUNGU hapakuwa na ubatizo.....kama akina Ibrahim
Sasa MUNGU alipowatoa israel utumwani alitaka awafanye wawe kielelezo kwa mataifa mengine....
Akawapa maelezekezo kama taifa takatifu, na maelekezo ya ibada...
Ambapo aliwaambia kama mtu atatenda dhambi itapaswa atoe kafara ya kondoo au njiwa kwa ambae hana uwezo....
Sasa huyo mnyama itabidi umuchinje na unaungama dhambi zako, kwa hiyo yeye anakufa kwa ajili yako!
Woote hao wanyama walimwakilisha YESU aliyekufa msalabani....
ni wa kiimani zaidi ili uupate unapaswa kuamini tu
ukombozi naouzungumza ni ule wa kiroho mwanadamu alipotenda dhambi aliweka mpaka kati ya MUNGU na mwanadamu kristo alikuja kuuondoa huo mpaka
upo sahihi yeye hakumuua jumla aliitaji tu damu yake ndo maana alimfufua kwa akili ya kibinadamu ngumu kuelewa inaeleweka kiroho zaidiI think it still doesn't make sense maana ukitazama kwa jicho la kawaida, Mungu kumwadhibu mtu asiye na hatia ili kuwasamehe wenye hatia inapingana na kanuni za msingi za haki ya kibinadamu. Kwenye mfumo wowote wa sheria, huwezi kumfunga au kumuua mtu asiye na kosa ili kumwachia huru mhalifu aliyekiri kosa.
Mbali na hayo yeye shetani kila mara huwa haguswi binadamu tu kwenye context ya kidini ndio anapigwa wakati ni dai la kidini kuwa chanzo cha uovu ni shetani.
Yesu alipokufa ile kafara yake ilienda kwa nani? Kama ni kwa MUNGU inamaana alijipigia ngoma mwenyew na kucheza rejea
Yohana 1 kifupi inaeleza aliyekuja kufa msalabani ndo MUNGU mwenyewe. Kama ilienda kwa shetani inamaanisha MUNGU hana power mpaka ajitoe kafara kwa shetani maana unaposema kafara ni kitu unachotoa ili upate kitu chenye thamani zaidi au kuna kipi ambacho sijui.
mkuu nilijua umeokoka
upo sahihi yeye hakumuua jumla aliitaji tu damu yake ndo maana alimfufua kwa akili ya kibinadamu ngumu kuelewa inaeleweka kiroho zaidi
nguvu ya damu yake ndo yathaman siyo kifo chake.
hakuna mwenye majibu ya hakika ila nadhan anafanya majaribio au anacheza gameJust think of it kama Mungu alijua tangu mwanzo kabla hajamuumba binadamu kwamb binadam atatenda dhambi, na akajua kabl kuwa Shetani ataasi na kuwapoteza watu, kwanini aliumba mfumo unaomwadhibu binadamu kwa makosa ambayo Mungu mwenyewe alijua kwa 100% kuwa yatatokea kabla hata hajawaumba?
Hiyo kueleweka kiroho ndio vipi? Mnapenda kujitungia mamboupo sahihi yeye hakumuua jumla aliitaji tu damu yake ndo maana alimfufua kwa akili ya kibinadamu ngumu kuelewa inaeleweka kiroho zaidi
nguvu ya damu yake ndo yathaman siyo kifo chake.
Kwa uhakika kabisa nakwambia hakujua haya🤣🤣Just think of it kama Mungu alijua tangu mwanzo kabla hajamuumba binadamu kwamb binadam atatenda dhambi, na akajua kabl kuwa Shetani ataasi na kuwapoteza watu, kwanini aliumba mfumo unaomwadhibu binadamu kwa makosa ambayo Mungu mwenyewe alijua kwa 100% kuwa yatatokea kabla hata hajawaumba?
You are arguments can not be ignored.Mbali na hayo yeye shetani kila mara huwa haguswi binadamu tu kwenye context ya kidini ndio anapigwa wakati ni dai la kidini kuwa chanzo cha uovu ni shetani
Nani kasema Mungu alimtoa kwa shetani?inamaana alimtoa kwa shetan tena kwann amchukuweko
Nimepapenda hapoMshahara wa dhambi ni mauti,,, na mwanadamu ilitakiwa afe kutokana na dhambi yake ya kula tunda bustanini.......
Sasa sheria haijui msamaha, na hukukuwa na mbadala wa kumwokoa mwanadamu na mauti.......
Hivyo MUNGU kwa upendo wake, akajitoa kufa kwa ajili yetu ili tusife milele.......
Habari ya kafara ilienda kwa nani, MUNGU ndiye mwenye uwezo wa kusamehe...... na kama YESU angekuwa ametenda dhambi asingefufuka baada ya mauti yake.......
Be blessed mkuu!
hakuna aliyetunga mkuuHiyo kueleweka kiroho ndio vipi? Mnapenda kujitungia mambo