Kuna mahali Yesu anasema alijitoa Kafara au amelishwa tu maneno. Naomba kufahamu.Yesu alipokufa ile kafara yake ilienda kwa nani? Kama ni kwa MUNGU inamaana alijipigia ngoma mwenyew na kucheza rejea
Yohana 1 kifupi inaeleza aliyekuja kufa msalabani ndo MUNGU mwenyewe. Kama ilienda kwa shetani inamaanisha MUNGU hana power mpaka ajitoe kafara kwa shetani maana unaposema kafara ni kitu unachotoa ili upate kitu chenye thamani zaidi au kuna kipi ambacho sijui.