Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
Mshahara wa dhambi ni mauti?Mshahara wa dhambi ni mauti,,, na mwanadamu ilitakiwa afe kutokana na dhambi yake ya kula tunda bustanini.......
Sasa sheria haijui msamaha, na hukukuwa na mbadala wa kumwokoa mwanadamu na mauti.......
Hivyo MUNGU kwa upendo wake, akajitoa kufa kwa ajili yetu ili tusife milele.......
Habari ya kafara ilienda kwa nani, MUNGU ndiye mwenye uwezo wa kusamehe...... na kama YESU angekuwa ametenda dhambi asingefufuka baada ya mauti yake.......
Be blessed mkuu!
Biblia inajichanganya 🤣🤣Yesu alipokufa ile kafara yake ilienda kwa nani? Kama ni kwa MUNGU inamaana alijipigia ngoma mwenyew na kucheza rejea
Yohana 1 kifupi inaeleza aliyekuja kufa msalabani ndo MUNGU mwenyewe. Kama ilienda kwa shetani inamaanisha MUNGU hana power mpaka ajitoe kafara kwa shetani maana unaposema kafara ni kitu unachotoa ili upate kitu chenye thamani zaidi au kuna kipi ambacho sijui.
NaamMshahara wa dhambi ni mauti?
Kama umeuliza ili uelewe kaa chini tulia usome uelewe, ila kama umeuliza ili uchalenj, watu watajua wewe ni mfuasi wa mudi unaetaka kukosoa.Yesu alipokufa ile kafara yake ilienda kwa nani? Kama ni kwa MUNGU inamaana alijipigia ngoma mwenyew na kucheza rejea
Yohana 1 kifupi inaeleza aliyekuja kufa msalabani ndo MUNGU mwenyewe. Kama ilienda kwa shetani inamaanisha MUNGU hana power mpaka ajitoe kafara kwa shetani maana unaposema kafara ni kitu unachotoa ili upate kitu chenye thamani zaidi au kuna kipi ambacho sijui.
Mkuu litakuwa jambo la kizwazwa ukikubali kubunja mabikra 72 halafu hutaki kumpokea Kristo😃Biblia inajichanganya 🤣🤣
Sina lengo baya ndugu naomba kuuliza wale waliokufa kabla ya kafara ya yesu kutolewa hawatafufuka watakuwa wamekufa mileleMshahara wa dhambi ni mauti,,, na mwanadamu ilitakiwa afe kutokana na dhambi yake ya kula tunda bustanini.......
Sasa sheria haijui msamaha, na hukukuwa na mbadala wa kumwokoa mwanadamu na mauti.......
Hivyo MUNGU kwa upendo wake, akajitoa kufa kwa ajili yetu ili tusife milele.......
Habari ya kafara ilienda kwa nani, MUNGU ndiye mwenye uwezo wa kusamehe...... na kama YESU angekuwa ametenda dhambi asingefufuka baada ya mauti yake.......
Be blessed mkuu!
Asante mkuu...Sina lengo baya ndugu naomba kuuliza wale waliokufa kabla ya kafara ya yesu kutolewa hawatafufuka watakuwa wamekufa milele
Watafufuka..... na pia wanadamu wote haijalishi ni mwema au muovu watafufuka wote....Sina lengo baya ndugu naomba kuuliza wale waliokufa kabla ya kafara ya yesu kutolewa hawatafufuka watakuwa wamekufa milele
Wote huo ni utapeli tuMkuu litakuwa jambo la kizwazwa ukikubali kubunja mabikra 72 halafu hutaki kumpokea Kristo😃
Hapo nashangaa!!! Huenda ilienda kwa shetani ili aache kubishana na Mungu. Ni kichekesho kwani bado utajiri wa dunia ni wa shetani. Watu bado wanampa shetani kafara ili watoboe!! Huyo Mungu wa Israel yupo wapi?Yesu alipokufa ile kafara yake ilienda kwa nani? Kama ni kwa MUNGU inamaana alijipigia ngoma mwenyew na kucheza rejea
Yohana 1 kifupi inaeleza aliyekuja kufa msalabani ndo MUNGU mwenyewe. Kama ilienda kwa shetani inamaanisha MUNGU hana power mpaka ajitoe kafara kwa shetani maana unaposema kafara ni kitu unachotoa ili upate kitu chenye thamani zaidi au kuna kipi ambacho sijui.
Mungu wa Israel hata umpe nini Hana Msaada wowote watu wameshtukia Bora Shetani ana nafuuHapo nashangaa!!! Huenda ilienda kwa shetani ili aache kubishana na Mungu. Ni kichekesho kwani bado utajiri wa dunia ni wa shetani. Watu bado wanampa shetani kafara ili watoboe!! Huyo Mungu wa Israel yupo wapi?
thank youMshahara wa dhambi ni mauti,,, na mwanadamu ilitakiwa afe kutokana na dhambi yake ya kula tunda bustanini.......
Sasa sheria haijui msamaha, na hukukuwa na mbadala wa kumwokoa mwanadamu na mauti.......
Hivyo MUNGU kwa upendo wake, akajitoa kufa kwa ajili yetu ili tusife milele.......
Habari ya kafara ilienda kwa nani, MUNGU ndiye mwenye uwezo wa kusamehe...... na kama YESU angekuwa ametenda dhambi asingefufuka baada ya mauti yake.......
Be blessed mkuu!
inatakiwa tupate majibu tujue nyeusi ni ipi na nyeupe ni ipiBiblia inajichanganya
Si imeandikwa kuwa kwa jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwana wake wa pekee ili kila aaminiye asipotee bali apate uzima wa milele?Mshahara wa dhambi ni mauti,,, na mwanadamu ilitakiwa afe kutokana na dhambi yake ya kula tunda bustanini.......