Ile kafara ya YESU KRISTO ilienda kwa nani? MUNGU AU SHETANI?

Kama umeuliza ili uelewe kaa chini tulia usome uelewe, ila kama umeuliza ili uchalenj, watu watajua wewe ni mfuasi wa mudi unaetaka kukosoa.
mm ni mfuasi wa KRISTO napenda kujifunza tu karibu
 
ukombozi naouzungumza ni ule wa kiroho mwanadamu alipotenda dhambi aliweka mpaka kati ya MUNGU na mwanadamu kristo alikuja kuuondoa huo mpaka
 
ni wa kiimani zaidi ili uupate unapaswa kuamini tu
 
Si imeandikwa kuwa kwa jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa Mwana wake wa pekee ili kila aaminiye asipotee bali apate uzima wa milele?

Rejea Yohana 3:16
inamaana alimtoa kwa shetan tena kwann amchukuweko
 
nimekupata swali linabaki ile kafara ya YESU ilienda kwa MUNGU? Au wap
 
ukombozi naouzungumza ni ule wa kiroho mwanadamu alipotenda dhambi aliweka mpaka kati ya MUNGU na mwanadamu kristo alikuja kuuondoa huo mpaka

I think it still doesn't make sense maana ukitazama kwa jicho la kawaida, Mungu kumwadhibu mtu asiye na hatia ili kuwasamehe wenye hatia inapingana na kanuni za msingi za haki ya kibinadamu. Kwenye mfumo wowote wa sheria, huwezi kumfunga au kumuua mtu asiye na kosa ili kumwachia huru mhalifu aliyekiri kosa.

Mbali na hayo yeye shetani kila mara huwa haguswi binadamu tu kwenye context ya kidini ndio anapigwa wakati ni dai la kidini kuwa chanzo cha uovu ni shetani.
 
upo sahihi yeye hakumuua jumla aliitaji tu damu yake ndo maana alimfufua kwa akili ya kibinadamu ngumu kuelewa inaeleweka kiroho zaidi
nguvu ya damu yake ndo yathaman siyo kifo chake.
 
 
upo sahihi yeye hakumuua jumla aliitaji tu damu yake ndo maana alimfufua kwa akili ya kibinadamu ngumu kuelewa inaeleweka kiroho zaidi
nguvu ya damu yake ndo yathaman siyo kifo chake.


Just think of it kama Mungu alijua tangu mwanzo kabla hajamuumba binadamu kwamb binadam atatenda dhambi, na akajua kabl kuwa Shetani ataasi na kuwapoteza watu, kwanini aliumba mfumo unaomwadhibu binadamu kwa makosa ambayo Mungu mwenyewe alijua kwa 100% kuwa yatatokea kabla hata hajawaumba?
 
hakuna mwenye majibu ya hakika ila nadhan anafanya majaribio au anacheza game
 
upo sahihi yeye hakumuua jumla aliitaji tu damu yake ndo maana alimfufua kwa akili ya kibinadamu ngumu kuelewa inaeleweka kiroho zaidi
nguvu ya damu yake ndo yathaman siyo kifo chake.
Hiyo kueleweka kiroho ndio vipi? Mnapenda kujitungia mambo
 
Kwa uhakika kabisa nakwambia hakujua haya🤣🤣
 
Nimepapenda hapo
Mungu Kwa Upendo wake alijitoa kufa Kwa ajili yetu

Huyo atakuwa Mungu wa maandazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…