Kuna mahali Yesu anasema alijitoa Kafara au amelishwa tu maneno. Naomba kufahamu.Yesu alipokufa ile kafara yake ilienda kwa nani? Kama ni kwa MUNGU inamaana alijipigia ngoma mwenyew na kucheza rejea
Yohana 1 kifupi inaeleza aliyekuja kufa msalabani ndo MUNGU mwenyewe. Kama ilienda kwa shetani inamaanisha MUNGU hana power mpaka ajitoe kafara kwa shetani maana unaposema kafara ni kitu unachotoa ili upate kitu chenye thamani zaidi au kuna kipi ambacho sijui.
Kiukweli kabisa Wokovu ulioletwa na Yesu Kristo umebaki kwenye bla bla tu za mdomoni hata hiyo kimaani Tu haionekani Maana bado watu wanaamini ktk uovuMtu akiokolewa kutoka kwenye maji, anatoka akiwa mkavu au anavutwa nje. Lakini ukombozi unaozungumziwa kidini umebaki kuwa wa kiroho/nadharia maana dunia bado ina vita, magonjwa, umaskini, na uovu uleule uliokuwepo kabla ya kifo hicho. Kama matokeo hayo hayaonekani kwa macho wala kupimika. Je ukombozi wa msalabani ni upi?
Huko rohoni ndio wapi? Au ni kificho kinachokimbiliwa watu wanapofeli kujibu maswali y maanahakuna aliyetunga mkuu
Watu wa rohoni wanajua ya rohon wa mwili wanajua ya mwili
🤣🤣🤣Nimepapenda hapo
Mungu Kwa Upendo wake alijitoa kufa Kwa ajili yetu
Huyo atakuwa Mungu wa maandazi
anajua kila kitu kabla hujazaliwa anajua yote utakayopitia na anajua utakufa lin na utaenda mbingun au motonKwa uhakika kabisa nakwambia hakujua haya
alimtoa kwa nan? Sadaka ilipokelewa na nan?Nani kasema Mungu alimtoa kwa shetani?
Neno linasema Mungu akamtoa Mwana wake wa pekee.
Sidhanianajua kila kitu kabla hujazaliwa anajua yote utakayopitia na anajua utakufa lin na utaenda mbingun au moton
Kiukweli kabisa Wokovu ulioletwa na Yesu Kristo umebaki kwenye bla bla tu za mdomoni hata hiyo kimaani Tu haionekani Maana bado watu wanaamini ktk uovu
Kwa uhakika kabisa nakwambia hakujua haya🤣🤣
Ni ujinga ujinga tu na maneno matupuI agree ndio maana Logician call it Imani kwasababu hamna direct proof ya claim wazazotoa.
Inabidi waje na mbinu nyingine ya kufundisha hayo mambo lakini kwa mwendo huu tumewashtukia ni matapeli tu wa muda wote😂It's very concerning. Vitu vya haya mambo ya kidini ukiangalia kwa jicho zuri na mantiki utagundua ni upuuzi mtupu.
tusaidie maana ya kafara alipokufa kwaajili ya mwanadamu hiyo inaitwaje?Kuna mahali Yesu anasema alijitoa Kafara au amelishwa tu maneno. Naomba kufahamu.
You are arguments can not be ignored.
Kafara ikitolewa haiwezi kufufuka Tena, Sasa kitendo Cha Yesu kufa na siku tatu baadae eti amefufuka hiyo siyo kafara ni utapelitusaidie maana ya kafara alipokufa kwaajili ya mwanadamu hiyo inaitwaje?
unaelewa kuna roho na moyo kuna nafsi kuna akili maana yake ni vitu ambavyo huwezi kuviona kwa macho ya nyamaHuko rohoni ndio wapi? Au ni kificho kinachokimbiliwa watu wanapofeli kujibu maswali y maana
Ni yeye alisema kwamba alikufa kwa ajili yetu au amelishwa maneno?tusaidie maana ya kafara alipokufa kwaajili ya mwanadamu hiyo inaitwaje?
Inabidi waje na mbinu nyingine ya kufundisha hayo mambo lakini kwa mwendo huu tumewashtukia ni matapeli tu wa muda wote
duuh basi alifanya ukombozi wa wanadamu.Kafara ikitolewa haiwezi kufufuka Tena, Sasa kitendo Cha Yesu kufa na siku tatu baadae eti amefufuka hiyo siyo kafara ni utapeli