ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,400
- 2,623
1. Baada ya kafara ile watu hawafi tena?Mshahara wa dhambi ni mauti,,, na mwanadamu ilitakiwa afe kutokana na dhambi yake ya kula tunda bustanini.......
Sasa sheria haijui msamaha, na hukukuwa na mbadala wa kumwokoa mwanadamu na mauti.......
Hivyo MUNGU kwa upendo wake, akajitoa kufa kwa ajili yetu ili tusife milele.......
Habari ya kafara ilienda kwa nani, MUNGU ndiye mwenye uwezo wa kusamehe...... na kama YESU angekuwa ametenda dhambi asingefufuka baada ya mauti yake.......
Be blessed mkuu!
maana yako ipi kwenye biblia imesemwa sana na yeye YESU alisema imempasa mwana wa adamu kufaNi yeye alisema kwamba alikufa kwa ajili yetu au amelishwa maneno?
Ni ujinga ujinga tu na maneno matupu
They never proof madai yako ni stori na vifungu vya Biblia tu. Juzi nilikuwa napitapita kwenye stori ya farao eti Mungu anamtuma Musa aende kwa Farao kudai uhuru wa Waisraeli. Lakini kabla Musa hajaanza hata safari, Mungu anamwambia Musa: "Mimi nitaufanya kuwa mgumu moyo wa Farao, naye hatawaacha watu waende" (Kutoka 4:21).
Kama Mungu mwenyewe ndiye aliyeingilia kati kwenye mawazo ya Farao na kumfanya awe na "moyo mbaya" au mgumu, maana yake Farao hakuwa na uwezo tena wa kuchagua tofauti. Alikuwa anafuata maelekezo aliyowekewa.
Ukiendelea kusoma mbele baada ya Mungu kuufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, Mungu huyo huyo anarejea na kumwadhibu Farao pamoja na wananchi wa Misri kwa kukataa kuwaachia Waisrael.
Adhabu hizo zilijumuisha mapigo kumi, ikiwemo kuuawa kwa watoto wote wazaliwa wa kwanza wa Misri watoto ambao hawakuwa na hatia wala uhusiano wowote na maamuzi ya Farao.
Katika logic ya kawaida Mungu mwenyewe ndie ametengeneza tatizo na kutoa adhabu kwa sababu aliyoitoa yeye.
tunamrudishia alivyotupatiaKujitoa kwa ajili yetu lakini bado wanatukamua pesa. Yaani Mungu badala ya kutupatia sisi pesa lakini inabidi tumpe yeye. Dah ni masikitiko sana
Yaani kama mtu unafikiria vizuri huwezi kuelewaKujitoa kwa ajili yetu lakini bado wanatukamua pesa. Yaani Mungu badala ya kutupatia sisi pesa lakini inabidi tumpe yeye. Dah ni masikitiko sana
Hilo swali lake hata wewe unaweza kumjibu. Ni la kawaida sana, sijui kwanini limewekwa Jamii Intelligence
Ni ujinga ujinga tu na maneno matupu
Janja gani. Pekua nyuzi zangu utapata majibu ya swali hiloNi ujinga ujinga tu na maneno matupu
They never proof madai yao ni stori na vifungu vya Biblia tu. Juzi nilikuwa napitapita kwenye stori ya farao eti Mungu anamtuma Musa aende kwa Farao kudai uhuru wa Waisraeli. Lakini kabla Musa hajaanza hata safari, Mungu anamwambia Musa: "Mimi nitaufanya kuwa mgumu moyo wa Farao, naye hatawaacha watu waende" (Kutoka 4:21).
Kama Mungu mwenyewe ndiye aliyeingilia kati kwenye mawazo ya Farao na kumfanya awe na "moyo mbaya" au mgumu, maana yake Farao hakuwa na uwezo tena wa kuchagua tofauti. Alikuwa anafuata maelekezo aliyowekewa.
Ukiendelea...
Jibu hapa acha janjajanja.
They never proof madai yao ni stori na vifungu vya Biblia tu. Juzi nilikuwa napitapita kwenye stori ya farao eti Mungu anamtuma Musa aende kwa Farao kudai uhuru wa Waisraeli. Lakini kabla Musa hajaanza hata safari, Mungu anamwambia Musa: "Mimi nitaufanya kuwa mgumu moyo wa Farao, naye hatawaacha watu waende" (Kutoka 4:21).
Kama Mungu mwenyewe ndiye aliyeingilia kati kwenye mawazo ya Farao na kumfanya awe na "moyo mbaya" au mgumu, maana yake Farao hakuwa na uwezo tena wa kuchagua tofauti. Alikuwa anafuata maelekezo aliyowekewa.
Ukiendelea kusoma mbele baada ya Mungu kuufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, Mungu huyo huyo anarejea na kumwadhibu Farao pamoja na wananchi wa Misri kwa kukataa kuwaachia Waisrael.
Adhabu hizo zilijumuisha mapigo kumi, ikiwemo kuuawa kwa watoto wote wazaliwa wa kwanza wa Misri watoto ambao hawakuwa na hatia wala uhusiano wowote na maamuzi ya Farao.
Janja gani. Pekua nyuzi zangu utapata majibu ya swali hilo
Anacheza game la kujifurahisha
weka linkJanja gani. Pekua nyuzi zangu utapata majibu ya swali hilo
Anayepokea sadaka ya dhambi si aliyetendewa? Mungu ndiye aliyeipokea na kuthibitisha ni damu bora kuliko damu ya Habili.alimtoa kwa nan? Sadaka ilipokelewa na nan?
Aliyekufa ni mwana wa adamu sio mwana wa Mungu kwa comment yako hapo.maana yako ipi kwenye biblia imesemwa sana na yeye YESU alisema imempasa mwana wa adamu kufa
soma biblia ujue acha ujanja mwana wa MUNGU alioa wapi MUNGU akapata mtoto ambaye ni yesu? mke wake unamjua? Au aliokota mtoto ndo huyo?Aliyekufa ni mwana wa adamu sio mwana wa Mungu kwa comment yako hapo.
Kwa comment hapo chini, ni wewe uliyesema Yesu ni mwana wa adam.soma biblia ujue acha ujanja mwana wa MUNGU alioa wapi MUNGU akapata mtoto ambaye ni yesu? mke wake unamjua? Au aliokota mtoto ndo huyo?
kasome luka 9:22, yohana 1:51, luka 22:22 na malizia na luka 24:7Kwa comment hapo chini, ni wewe uliyesema Yesu ni mwana wa adam.
maana yako ipi kwenye biblia imesemwa sana na yeye YESU alisema imempasa mwana wa adamu kufa
Ukombozi wa kiroho kwa makosa ya kimwili. Naomba maelezo kdgo hapaukombozi naouzungumza ni ule wa kiroho mwanadamu alipotenda dhambi aliweka mpaka kati ya MUNGU na mwanadamu kristo alikuja kuuondoa huo mpaka