Ili awe Mshangazi anapaswa kuwa na umri gani?

Hapo vip!!

Nimekuwa nasikia sana huu msemo wa lishangzi.

Sifa za mashangazi ni kama zifuatazo.
1. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea
2. Awe single mother au single kawaida.

Kama unasifa zingine zitaje ili wajitambue.
Miaka 30 anakuaje lishangazi? Huu ni umri ambao mwanamke anakuwa mtamu kama asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…