Ili awe Mshangazi anapaswa kuwa na umri gani?

Ili awe Mshangazi anapaswa kuwa na umri gani?

Kwa kuongezea tu:

➡️ Lijishangazi ni lazima liwe tipwatipwa vinginevyo kitakuwa ni kijishangazi kama ni ka kimbaumbau full mkondeano na mnyong'onyeo.

➡️ Lazima liwe na mtako teketeke unaomeng'enyulika.

➡️ Liwe na pigo za kisasa na halijafulia wala kubagazwa na maisha.

➡️ Likiwa jeupe inapendeza zaidi!🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

downloadfile-73.jpg
 
Back
Top Bottom